Mwanaume ni yupi hapa??



Shantel huo mdadala ni mgumu saana Mpenzi... Hua tu unanishinda maana kumuita mwanamke mwenzio malaya..... Dah!
 
Naelewa saaana Mambo ya a dedicated house wife.... NIMEFURAHI Mpenzi kukuona (thou avatar ilinichanginyi kidogo...hahaha)

ha haaaaaaaaaaaaa, mambo ya kujibadilisha mara kwa mara.
Asante my dear, nimefurahi kuwa hapa pia, ila majukumu bado yanaendelea. hii kazi ni nzuri sana.
 

Katika jamii mwanamke mwenye wanaume zaidi ya 2 anaonekana malaya
Lakini mwanaume mwenye wanawake zaidi ya 2 anaonekana mjanja na kidume kumiliki wanawake.
Hii inatokana kwamba mwanamke anayekuwa na wanaume zaidi ya 2 anafanya kwa tamaa ya mshiko ndo maana anaonekana malaya lakini mwanaume kwa vile hahitaji mshiko zaidi ya kutumiza haja zake haonekani malaya.
 
See love...see? we are almost thinking the same......lol

Karibu tena FP



Hny we miss the same people at the same time.... and think alike.... hapo hatujaangalia sector nyingine....lol
 
Kama Mungu angetuhesabia kwa yale yanayotendeka nani angesimama? Mimi siwezi acha kuolewa na kipenda roho changu kisa watu wanasema eti ni malaya, mbaya wa sura, hajasoma etc. Heshimuni sana mawazo yenu, holy spirit ifanye kazi.

Wanaume/wanawake fanyeni maamuzi kwa kumshirikisha Mungu. Mwaka jana vijana wa kanisani tulifanya matembezi ya usiku sehemu ambazo tunajua wale wadada wanaoishi kwenye mazingira magumu wanasimama. Tulipata wadada 4 roho mtakatifu akashuka ndani yao wakaanza utumishi. 2 wameolewa tayari.

Hakuna kinachoshindikana.
 
umeona sasa????ndio maana hii thread ilikuja kwa kuuliza swali...
wewe unaona hivyo,but kwenye jamii nyingine ukicheza faulo kupata mwanamke 'unadharaulika'
jamii zingine all is fair in the name of love....umeona hapo?????

Yaani kwa jamii yetu ya Kiafrika, unadhani tutakuwa position ipi mkuu apo? LOL.....(rational au normative apo?)
 

Ok nakubaliana na wewe, kwa sababu tunaishi kimazoea........... lakini mimi kama Mtambuzi, maisha yangu ni ya ajabu sana, huko kwenye jamii nilishaondoka zamani sana, jamii huwa hainisumbui kabisaaaa.............. najua kuna watu wananioana kama mtu wa ajabu lakini wengi wamejifunza kupitia kwangu kw asababu naishi vile nipendavyo, na simkwazi mtu na sitajki mtu anikwaze.......... huw anawapisha wapite na kero zao, kwangu mimi maisha kila siku ni mpya.......................
 
Yaani kwa jamii yetu ya Kiafrika, unadhani tutakuwa position ipi mkuu apo? LOL.....(rational au normative apo?)

hata sii waafrika tumegawanyika....
jiulize wapemba na wakurya au wachaga na wazaramo
au wamasai na wadigo...wanafanana?
 
hata sii waafrika tumegawanyika....
jiulize wapemba na wakurya au wachaga na wazaramo
au wamasai na wadigo...wanafanana?

Kuna mambo 'ya msingi' wanafanana, kama views zao kuhusu mwanamke malaya na mwanamke malaya, I believe
 
Kuna mambo 'ya msingi' wanafanana, kama views zao kuhusu mwanamke malaya na mwanamke malaya, I believe

trust me wapemba kama mwanamke hajaolewa na sio bikira ni 'malaya'
huwezi sema hivyo kwa wahaya au wamasai..ingawa mabadiliko yapo bado ukiwa pemba sio sawa na ukiwa moshi...
na kuhusu 'uanaume ' mpemba na mkurya nafuikiri wanatofautiana....
 
Inategemea
Mwanamke anaweza kuwa malaya kwa sababu za umaskini tu ila akiolewa na mtu mwenye mshiko akatulia na na kuwa mama mzuri kabisa.
Lakini kama umalaya wake unasababishwa na kuwa na nyege za kupita kiasi (nymphomania), huyo hata akiolewa bado ataendele kuchakachuliwa na wajanja wengine.
Kuhusu kuoa mwanamke mwenye sifa zote lakini humpendi hii ni hatari usijaribu hata siku moja kwani haiwezi kudumu
 
Sweetie una hakika hapo unamsemea Fidel80?? (maana reading between the lines.... I am short of words..)

hahahah love...you know I am missing no nothing.....you know Fidel80? Thats his GAME...lol
 




We jamaa kama hili linakufaa sio?

Mi hawa hawa ndo huwa wanaliza jamani angalieni wenyewe kha!!
Huyu hata kama jambazi mimi hapo ndo nimefika mwe mwe mwe mwe
Ile nyumba ya urithi niliyo uza yaweza ishia kwa huyu.
 
hahahah love...you know I am missing no nothing.....you know Fidel80? Thats his GAME...lol

Kitu kama hizo huwa napata ukichaa flani mkichwa nimewahi ifuata moja Nairobi tukaenda Mombasa dah we acha tu mpwa.
 
mi nadhani wa kwanza kwamba unakuwa na maamuzi yako bila kumtegemea mtu maana huwezi kufurahisha jamii, kumbuka watu huwa hawakosi la kusema hata huyo ambaye watamuona mzuri wa tabia iko siku watapata la kusema, ni vizuri kuoa ambaye unampenda mana ndoa nayo ngumu kama haina msingi wa kupendana!!!!!! mh kazi ipo
 
hata sii waafrika tumegawanyika....
jiulize wapemba na wakurya au wachaga na wazaramo
au wamasai na wadigo...wanafanana?

Inawezekana bana, kule uchagani nimekuta Mchaga kaoa mzaramo na yuko mgombani kama kawa........... kabadilika mpaka lafudhi utadhani ni mchaga..............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…