Mwanaume ni yupi hapa??

ha haaa interesting....ujasiri wa kiume na ujasiri mradi ni ujasiri ni vitu viwili tofauti...

mfano mtu anaweza kuchukua ujasiri wa kujinyonga,still ni jasiri but watu wanaweza kumuona mpumbavu
pamoja na 'ujasiri' wa kujitoa roho....

na mwingine ambae mimi huita 'ujasiri wa kiume'...ni mfano umempenda mno mwanamke kupita maelezo...
lakini mwanamke huyo kuna price kubwa ya kuwa nae...ukaamua tu kukubali kumkosa na kuendelea na maisha
na maumivu ya kumkosa.....hapo tutaita 'ujasiri wa kiume' hasa ikiwa ulikuwa na power ya kufanya 'faulo 'umpate...
mfano wewe ni mwalimu mkuu na binti ni mwanafunzi...lol
au mkuu wa idara,binti ni trainee but ana mchumba...e.t.c....
 
SAMAHANI this is out of Topic.... Wee Fixed Point.. where have you been? yaani hii ni more than kupotea!
 
Ulipotea sana FP habari ya siku

Kwen kitchen party si mnaambiwa 'kuwa malaya chumbani kwako na mumeo' sasa hapo inakuwaje.....
 
Mkuu apo pote huoni pia the opposite ni ujasiri wa kiume pia?
 
SAMAHANI this is out of Topic.... Wee Fixed Point.. where have you been? yaani hii ni more than kupotea!
We acha tu AshaDii, majukumu haya si mchezo................ mambo ya kuwa mke mwema, ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Salama lakini?
 
Hivi tunapozungumzia mwanamke malaya ni yule anayetembea na wanaume wengi kwa pamoja bila mpangilio yaani kawapanga foleni,, au yule anayekuwa na wapenzi wengi lakini anakuwa na huyu kwa miezi anamchoka anakuwa na mwingine tena na tena na huyu wa pili naye ni malaya? unajua nimemwazia jenipher Lopez, anabadili sana na bado wanaume wako proud kuwa naye, au umalaya wa mtu unategemea na stutus yake?

Nikirudi kwa The boss, mi nadhani ukiamua kumuoa mwanamke oa unayempenda kwa dhati haijalishi kama alikuwa malaya au vipi, maadam kakubali kutulia na wewe kwa nia moja ya kujenga famili, kwangu mimi kidume kati ya wale wawili ni yule aliyeoa mwanamke anaempenda ila alikuwa malaya sababu yaliyopita si ndwele, tushaona watu wanaolewa mabikira badae wanakuja kuwa malaya wa kutupwa, bora huyo aliyefanya kabla ya pingu
 
SAMAHANI this is out of Topic.... Wee Fixed Point.. where have you been? yaani hii ni more than kupotea!

Ulipotea sana FP habari ya siku

Kwen kitchen party si mnaambiwa 'kuwa malaya chumbani kwako na mumeo' sasa hapo inakuwaje.....

We acha tu AshaDii, majukumu haya si mchezo................ mambo ya kuwa mke mwema, ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Salama lakini?

See love...see? we are almost thinking the same......lol

Karibu tena FP
 
Mkuu apo pote huoni pia the opposite ni ujasiri wa kiume pia?

umeona sasa????ndio maana hii thread ilikuja kwa kuuliza swali...
wewe unaona hivyo,but kwenye jamii nyingine ukicheza faulo kupata mwanamke 'unadharaulika'
jamii zingine all is fair in the name of love....umeona hapo?????
 
Yaani Shantel tatizo linaanzia hapo hapo......
 
Ulipotea sana FP habari ya siku

Kwen kitchen party si mnaambiwa 'kuwa malaya chumbani kwako na mumeo' sasa hapo inakuwaje.....

Ni maisha tu kaka Kaizer. Umalaya wa kumfanyia mumeo ni ruksa, na unatakiwa sana............... ila kwa masharti kwamba uufanyie chumbani. tunaouzungumzia hapa ambao hautakiwi ni ule wa kutokujua mipaka ya urafiki wako na jinsia nyingine.
kwanza unamdhalilisha mumeo (hata awe na cheo/ fedha vipi hataheshimika)
pia unajidhalilisha mwenyewe (imagine kila ukipishana na wakaka 10 wawili wanakujua, ni balaa)
 
We acha tu AshaDii, majukumu haya si mchezo................ mambo ya kuwa mke mwema, ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Salama lakini?

Naelewa saaana Mambo ya a dedicated house wife.... NIMEFURAHI Mpenzi kukuona (thou avatar ilinichanginyi kidogo...hahaha)
 
mimi nilisema 'aneonekana malaya' kwa jamii..
kwa hiyo jinsi jamii inavyoona na sio mimi kusema mwanamke wa hivi ni malaya au sio malaya..

kwa hiyo yes,j lo kwa jamii zingine ni 'malaya ' pia....but ..

hapa nazungumzia jamii yetu inavyom define 'malaya'...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…