Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,021
- 142,909
selfish type lol
Nyumba Kubwa, kwa nini umeweka picha ya Hugo Chavez?
Eeh! Ndio umeiona leo NN? I just admire his politics.
are you a socialist.?....but trust me hiyo avatar hata mtu kukutongoza anajishauri lol
Huyu mdada bana…hebu jaribu kwenda kwenye profile yake uone hata kama unaweza kumwomba urafiki…lol
We NN; what is wrong with my profile. Isije ikawa wame reveal my true ID. Kuna nini kwenye profile yangu? Maana nabwabwaja humu kwa kuwa am unknown.
Kuna siku moja ulinivutia sana na mchango wako nikasema huyu lazima nimwombe urafiki. Kuja kwenye profile yako..hola! Sikuona jinsi ya kukuomba huo urafiki. Sasa sijui ni mimi ushamba wangu au labda ni ndivyo ulivyoziweka settings zako.
Impression niliyoondoka nayo ni kwamba labda haupo hapa kuchekeana chekeana na kuzoeana na watu.
Kuna siku moja ulinivutia sana na mchango wako nikasema huyu lazima nimwombe urafiki. Kuja kwenye profile yako..hola! Sikuona jinsi ya kukuomba huo urafiki. Sasa sijui ni mimi ushamba wangu au labda ni ndivyo ulivyoziweka settings zako.
Impression niliyoondoka nayo ni kwamba labda haupo hapa kuchekeana chekeana na kuzoeana na watu.
Kweli kabisa mapenzi huwa hayaangalii kabisa,hizi wifey material zinawatokea puani wengi sana, matokeo yake wanaume wanakuwa wanatoka sana nje ya ndoa zaomwanaume ni yule anayeoa mke anayempenda, na akahakikisha kamtuliza hata kama alikuwa kicheche, hajasoma akamsomesha, na wakajenga wote familia imara na bora; ni yule anayejali future na kuchukulia past kama challenge ya maisha, na kujifunza kutokana na makosa yake na ya mwenzie.
are you a socialist.?....but trust me hiyo avatar hata mtu kukutongoza anajishauri lol
Nimependa maoni yako sana, maana muda wa kuangalia jamii siku hizi umeshakwisha aisee, maana at the end of the day mnajifungia wawili, sipati picha kila siku asubuhi maisha yako yote unaamka pembeni ya mtu ambaye humpendi, maana hata utamwona kama jini vileMimi kwenye swali la mapenzi na ndoa ninabakia na kauli hizi ambazo zimejenga mizizi katika jamii:
1. Mapenzi kipofu/Anayependa haoni/Kipendacho moyo.
Mtu akipenda kweli anaziba macho na kutia pamba masikio. Anakuwa hasikii, haoni. Anakosa muda wa kuijadili nafsi yake. Kilicho na nguvu hapa ni mapenzi na wala sio sababu nyengine kama jamii au familia. Hili la mwisho linauma (kutengana na familia yako) lakini ndivyo ilivyo.
2. Ndoa hufungwa mbinguni.
Si mara zote na si wote wameoa/wameolewa na wale hasa waliowataka. Popote utakapoangukia, ikiwa hakuna sababu za msingi kugeuka nyuma, inakubidi udumu katika ndoa.
Kwa kujibu swali lako Boss, kwa kuunganisha na hizo points mbili za juu, nitaoa yule ninayempenda.
Boss hivi hujui katika kiungo kidanganyifu moyo ndio unaongoza kwenye swala lakuoa tabia inamata sana, kuna kaka naye alikua na tatizo kaa lako anaambiwa mwanamke malaya hasikii anadai kipenda roho kaoa yaani vikao tuu vya harusiBOSS, kipenda roho banaaaa.......
Am neither a socialist nor neo-liberalist; I don't even believe in democracy. nafagilia politics that work. Jamaa amewafanyia mambo mengi masikini wa nchini kwake. Na ni kidume, hayumbishwi na Westerners.
but hizo policy zake zita fail....tazama cuba inavyo colapse
I don't know much about Cuba; wana mafuta? Chavez ana mafuta na anapo pa kuyauza kwani ni best na China; hence amewashika pabaya wamarekani. Ame nationalize uchimbaji wa mafuta na hawajamfanya kitu. Kuna mama yuko ubalozini wa Nchi yake hapa nilipo; anatoka tabaka la juu; anasema wazazi wake hawampendi Chavez kwani upper class walikuwa wanafaidika sana kabla hajaingia madarakani.
Lakini anasema hata wazazi wake ambao wame retire sasa hivi wanamkubali kwani malipo yao ya uzeeni wanapata bila kwere kwani amekata mianya ya ufisadi ela inaonekana.
Nyumba kubwa sorry out of topic...uliwahi kuishi wapi dar?
una msamiati wa maeneo fulani hivi lol