Mwanaume ni yule ambaye

hawapo wa hivyo. wangekuwepo kusingekuwa na vilio vya wanawake juu ya mahusiano.
 
hata cjui simu anashikaga saa ngapi ila najua anashika koz kuna mda naambiwa kitu ambacho bila kushika asingejua, likewise hajui nashika simu saa ngapi ila anajua nashika
 
lakini imekuwa kama tabia kwa baadhi ya wanawake kupekua simu ya mwenzake. binafsi limeshanitokea Mara nyingi, unakuta unaoga bafuni kumbe mwenzako huku anaangalia simu yako. sijui kwanini wanakua hivi
 
Huo ni wajibu wa mapenzi ya mwanaume kwa mwanamke tu...na siyo tafsiri ya mwanamme. Mwanamme ni zaidi ya hapo
 

ongezea na hii mkuu,"ni yule wallet yake iliyotuna"mmmmmanina.wallet ikiwa haijatuna mnatuonaga malofa kweli
 
Hakuna kitu kama hicho, kila jambo na wakati wake,mwanaume unatakiwa sometime yes sometime no,ukiwazoesha hawa viumbe kucheka nao all time utajuta,means mwanaume hutakiwi kutabirika,siku zingine mpe mkeo malove mpaka afurahi,Ila usimzoeshe sana coz kuna siku michongo yako haijakaa fresh,stress kibao unarudi home haujachangamka siku mbili utasikia oh siku hizi una mwingine na malalamiko kibao si ulishamzoesha;
 
Mamuu hana mpango kabisa na simu yangu, sijawahi kumkataza, lkn amejenga mazoea ya kutoni kagua - especially thru my phone. Kitu ninacho mpenda ni kwamba huwa anani-miss sana ninapokuwa mbali nae. Nina uhakika kwamba I am the best man to her...
 

wa hivi simtaki ana-sound gay. mie bila kichapo naona sipendwi. bila drama za hapa na pale za kufungua simu mara kile naona siku haiendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…