- Papa na sheikh ni nature? Hao ni viongozi tu wa dini. Hamna dini iliyotoka kwa Mungu, zote ni man made ili dunia itawalike kirahisi.
- Matajiri wanawake wako wengi tu mbona?
1. Francoise Bettencourt Meyers: $74.8 billion. ...
#2. Alice Walton: $65.3 billion. ...
#3. Julia Koch: $60 billion. ...
#4. Mackenzie Scott: $43.6 billion. ...
#5. Jacqueline Mars: $31.7 billion. ...
#6. Gina Reinhart: $30.2 billion. ...
#7. Miriam Adelson: $27.5 billion. ...
#8. Susanne Klatten: $24.3 billion
Pia marais wanawake wapo kibao tu.
Mimi sio single mother ila nawaheshimu sana maana wana perform duties zilizo washinda wanaume kibao.