Wana JF..
Jana kulikuwa na kongamano la wanawake na akina dada ambalo liliongozwa na Mkurugenzi wa ITV na RADIO ONE wanasema "mwanamke ni sawa na Mwanaume tena kuna Nyanja mwanamke kamzid mwanaume" je! Kuna ukwel wowote katika hili..
hata unacho ongea hukielewi,sasa bilogical differences nini hasa kama sio tofauti tena kubwa??? think big. hakuta kuja kuwa na usawa kati ya mwanamke na mwanaume katika ulimwengu huu hata siku moja labda baada ya kiama na ninayasema haya kwa uhakika kabisa bila kupepesa maneno.mwaume atabaki kuwa mwanaume na mwanamke atabaki kuwa mwanamke na hawato kuja kulingana hata siku moja ,tatizo mnaungiza siasa hadi kwenye mambo ambayo haiwezekani kuja kutokea na ndio maana huji kukuta hata siku moja jogoo na tetea wakawa hawana tofauti au dume la simba likawa sawa na simba jike. ni ninacho amini mungu angewapa wanawake mamlaka ya kuwa na nguvu na uwezo kama wanaume nahisi hali ingekuwa ni hatari sana kumbuka (hatuongelei uwezo wa darasani)kuna mambo mengi sana ambayo mwanaume amejaaliwa ambayo hata mwanamke afanye nini haitokuja tokea kufanana na kwa mwanamke pia ana majaaliwa yake ambayo mwanaume hata afanye nini haitotokea watu hawa kufanana, hizo ni siasa za wanawake wachache walio shindwa kuheshimu ndoa zao kama maandiko yanavo sema halafu wanakuja kurubuni na wenzao.ndio mana ndoa siku hizi hazidumu sababu kila mtu anataka awe kichwa cha nyumba,hii nayo ni laana.Ni kweli wote tupo sawa just biological differences tu...mbona iko wazi hii?? Nilisoma abroad injiniaring,field ngumu kabisa top scorer wote walikuwa wadada!! Wametuzidi vingi tu, na wana IQ kubwa kuliko sie...na kuna msemo umezagaa siku ingawa siupendi lakini yabidi kuumeza tu..."Wanaume Suruali"
Wana JF..
Jana kulikuwa na kongamano la wanawake na akina dada ambalo liliongozwa na Mkurugenzi wa ITV na RADIO ONE wanasema "mwanamke ni sawa na Mwanaume tena kuna Nyanja mwanamke kamzid mwanaume" je! Kuna ukwel wowote katika hili..
Wana JF..
Jana kulikuwa na kongamano la wanawake na akina dada ambalo liliongozwa na Mkurugenzi wa ITV na RADIO ONE wanasema "mwanamke ni sawa na Mwanaume tena kuna Nyanja mwanamke kamzid mwanaume" je! Kuna ukwel wowote katika hili..
Biologicaly hapana mwanaume sio sawa na.mwanamke
Ni kweli wote tupo sawa just biological differences tu...mbona iko wazi hii?? Nilisoma abroad injiniaring,field ngumu kabisa top scorer wote walikuwa wadada!! Wametuzidi vingi tu, na wana IQ kubwa kuliko sie...na kuna msemo umezagaa siku ingawa siupendi lakini yabidi kuumeza tu..."Wanaume Suruali"
At chromosome level, a woman is a more complete being than a man. A woman has all 46 complete chromosome while a man has 45 complete and the 46th (y-chrom) being kind of incomplete!
Ni kweli NN lakini kuna hichi kipengele Nadhani kitakuwa kinahusisha mambo ya IQ na development
Wana JF..
Jana kulikuwa na kongamano la wanawake na akina dada ambalo liliongozwa na Mkurugenzi wa ITV na RADIO ONE wanasema "mwanamke ni sawa na Mwanaume tena kuna Nyanja mwanamke kamzid mwanaume" je! Kuna ukwel wowote katika hili..
Ni kweliWana JF..