Lyn Vivac
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 858
- 1,024
What is nature?You can't go against nature.
What is nature?You can't go against nature.
Ukijiona unagegedwa na wapumbavu, JIPIMEWaroho na wa..pum..bavu
Acha dharau basi kwani ulijua mwanaume ni mwanamkeMwanaume hata akipewa kundi la wanawake 90 achague mmoja!! Hata akichagua mzuri kupita wote bado roho itamuuma kuwaacha wale 89 waliobaki!!
Mungu atubariki sana kwa upendo wa aina hii.
WamoyoWaroho
Wanawake sio watu wa kuwachezea hahhaah...Acha dharau basi kwani ulijua mwanaume ni mwanamke
Tuko tofauti kaka. Mwanamke anabikra na hiyo ni kwaajili ya mumewe tofauti na sie sasa ukiamua kujiringanisha ndo unashangaaa na mwanamke eti anawanume sita alafu anapata wa kumuoa khaaaaaaa
Siyo waroho kwani hata Mungu alimuumba Adam na hawa siyo huyuWafigo
The desire to have more than one woman.What is nature?
Hahah ukiskilia wimbo wa Nandy ft Mr Blue- Nagusa gusa Remix,Na kam tukipewa wote 89 mmoja akapotea lazima huyo mmoja atafutwe mpaka apatikane akishapatikana ni sherehe kubwa kama ya mwana mpotevu
Si kweli bhanaa, huwa mnatamani tuTena mnatakiwa mjivunie cuz wanaume tumepewa upendo unlimited
elezeaHiyo ni fact mwana
mhhhhhhhTena mnatakiwa mjivunie cuz wanaume tumepewa upendo unlimited