Mwanaume ni mwanaume tu!

Mwanaume ni mwanaume tu!

Mwanaume hata akipewa kundi la wanawake 90 achague mmoja!! Hata akichagua mzuri kupita wote bado roho itamuuma kuwaacha wale 89 waliobaki!!

Mungu atubariki sana kwa upendo wa aina hii.
hata tukipewa hao 89 bado roho itauma kumuacha huyu mmoja, hii kitu inatokea kwetu tu mwanamke hawezi fanya hii coz wanaroho ya mbaya ni selfish sana hao
 
Kweli kabisa, tumepewa moyo wa pekee sana
 
FB_IMG_1478933344686.jpg
 
Mwanaume hata akipewa kundi la wanawake 90 achague mmoja!! Hata akichagua mzuri kupita wote bado roho itamuuma kuwaacha wale 89 waliobaki!!

Mungu atubariki sana kwa upendo wa aina hii.
Hii inaonyesha ni jinsi gani tunawajali hawa viumbe.
 
Back
Top Bottom