Mwanaume ni mwanaume tu!

Mwanaume ni mwanaume tu!

Mwanaume hata akipewa kundi la wanawake 90 achague mmoja!! Hata akichagua mzuri kupita wote bado roho itamuuma kuwaacha wale 89 waliobaki!!

Mungu atubariki sana kwa upendo wa aina hii.
You can't go against nature.
 
Mwanaume hata akipewa kundi la wanawake 90 achague mmoja!! Hata akichagua mzuri kupita wote bado roho itamuuma kuwaacha wale 89 waliobaki!!

Mungu atubariki sana kwa upendo wa aina hii.
Huo tena sio upendo, ni tamaa.
 
Na duniani hamna kiumbe mwenye upendo kama sisi WANAUME... huu upendo hata shetani awezi gombanishaa
 
Team fisi..
hata kama ntapewa 89 kati ya hao 90 moyo utauma na ntakosa raha nikimfikiria yule mmoja niliyemuacha
 
Ha ha ha kila chakula kina utamu wake na virutubisho vyake nyama protin,matunda vitamin c,ugali wanga sasa kwanini nichague kimoja wakati navyengine navihitaji..?!
 
Clueless wee tuitee wapumbavuu Waktii si ndo tunakukubeshaa Mimba
 
Back
Top Bottom