Mwanaume ni mwanaume tu!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,262
Mwanaume hata akipewa kundi la wanawake 90 achague mmoja!! Hata akichagua mzuri kupita wote bado roho itamuuma kuwaacha wale 89 waliobaki!!

Mungu atubariki sana kwa upendo wa aina hii.
 
Mwanaume hata akipewa kundi la wanawake 90 achague mmoja!! Hata akichagua mzuri kupita wote bado roho itamuuma kuwaacha wale 89 waliobaki!!

Mungu atubariki sana kwa upendo wa aina hii.

AMEN
 
Mungu anawaona mjue,aliwapa mbavu ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…