Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,124
- 126,384
😀😀 Hatari sanaHuna experience na yoyote hapo?
😀😀 Hatari sanaHuna experience na yoyote hapo?
Hahaaaa utakuwa umeliwa weweKuna situation imentokea leo nimejikuta nacheka, wanaume mbarikiwe hamjuagi kukata tamaa kabisa.
Nyie Yakwenu mbona amuyasemi kunamtafiti moja alifanya utafiki akagundua Mwanamke nikiumbe mkatili sana kwenye tafiti wake aligundua wachawi wengi ni wanawake ukikuta kudindi la wachawi 10 wanane ni wanawake wawili wanaume mnaweza kunieleza kwanini mko hivyo?
Mok😉Ledada [emoji6]
Naanzaje sasa mbele ya udambwi wa kirahisi
Swali langu kwa wamama ila unaweza kujibi badala yao sio mbayaUnaongea na nani asee
Im good[emoji4]nimekukumbuka pia[emoji4]I hope you're doing well, nimekukumbuka asee, zile moments [emoji17]
Siwezi kataa..
Sikuoni[emoji18][emoji5][emoji5]
Angalia pm,
Hadi lini utakua tayari?
KuhangaikaPoleni sana.
Wanaume mmeumbwa matesooo[emoji445][emoji445]
Sisi tunachokitaka sikutia tu " .kupenda kwa mwanaume ni suala nyeti mnoo .. Tunaweza kutembea na wanawake hata kumi kwa muda mchache halafu ikawa haujampenda hata mmojaMwanaume ni kiumbe rahisi sana hasa akitongozwa na mwanamke mara nyingi huwa hachomoi na hasumbui