Mwanaume ni lulu katika hii dunia....

Mwanaume ni lulu katika hii dunia....

Nilishangaa sana
Mchungaji alipoomba wanawake wote wa kanisa wapite mbele siku ya wanawake ,
Wanaume waliobaki kwenye viti ni kama 15 pekee...

Tuliobak wanaume kwenye viti tukaanza kushangaana...
 
Back
Top Bottom