Mwanaume ni lulu katika hii dunia....

Mwanaume ni lulu katika hii dunia....

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,160
Reaction score
55,667
Mwanaume ni lulu katika hii dunia....
Mwanaume wa kuanzia miaka 30+ amekuwa akihitajika sana na wadada/wanawake ili waweze kufunga pingu za maisha. Na kama yuko smart, kiuchumi, kielimu, kujipenda n.k ana uwezo mkubwa wa kuwa na wapenzi wa aina mbali mbali na kila mmoja akitamani aolewe naye.Na wengi wenye rika hili waliojipanga vizuri kiuchumi,kiafya n.k wadada hujitongozesha kwao. Utakuta anafuatwa na wadada wenye umri tofauti tofauti, kuanzia miaka 18 - 50. Wanaume oyeeeee....
 
Mwanaume ni lulu katika hii dunia....
Mwanaume wa kuanzia miaka 30+ amekuwa akihitajika sana na wadada/wanawake ili waweze kufunga pingu za maisha. Na kama yuko smart, kiuchumi, kielimu, kujipenda n.k ana uwezo mkubwa wa kuwa na wapenzi wa aina mbali mbali na kila mmoja akitamani aolewe.Na wengi wenye rika hili waliojipanga vizuri kiuchumi,kiafya n.k wadada hujitongozesha kwao. Utakuta anafuatwa na wadada wenye umri tofauti tofauti, kuanzia miaka 18 - 50. Wanaume oyeeeee....

Sasa kama ni lulu, mbona hawana bei? Maana mimi naona wanawake ndo wanabei na wanaume wanawaonga.
 
Sasakama ni lulu, mbona hawana bei? Maana mimi naona wanawake ndo wanabei na wanaume wanawaonga.
Wajaribu kuboresha baadhi ya 'status' zao, mabadiliko watayaona
 
Bado kuambiwa wanaume ni warembo wa dunia, maana wapo wachache.

Maana lulu ni Vito vya thamani, means urembo.
 
Doh...i wish them.the best.Sie wengine acha tupambane kwanza tuone kama kwel tutawavutia.
Ahahahhaha
ha ha ha ukisimamia nafasi yako ya kiuanaume,mchakarikaji na ukawa na focus; watakuwinda tu hasa wadada wa 26+
 
Mbona sijaona mwanaume anavyokuwa lulu sasa ? Au ndo mambo ya Kanumba ?
Mwanaume ni lulu katika hii dunia....
Mwanaume wa kuanzia miaka 30+ amekuwa akihitajika sana na wadada/wanawake ili waweze kufunga pingu za maisha. Na kama yuko smart, kiuchumi, kielimu, kujipenda n.k ana uwezo mkubwa wa kuwa na wapenzi wa aina mbali mbali na kila mmoja akitamani aolewe naye.Na wengi wenye rika hili waliojipanga vizuri kiuchumi,kiafya n.k wadada hujitongozesha kwao. Utakuta anafuatwa na wadada wenye umri tofauti tofauti, kuanzia miaka 18 - 50. Wanaume oyeeeee....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom