Mwanaume ndo huyu

Najua ni mfano tu ndo maana nlikuwa namtania mtani wangu emmyta

Sasa hebu na wewe nikutanie kidogo...

Hivi kweli unapenda umwone mmeo akiwa anakata michongoma au akiwa anakukabidhi funguo za BMW...??

ahaha we sasa hv najua ushalipuka... mifano yako haiendan
 
Hapana hapo alimaanisha kwamba ukimuona mume yuko bize na kazi namna hiyo,unapata moyo/morali ya kupika hata na kanga moja,ili hata akija akitaka cha fasta ni fasta kweli hahaa si et MBITIYAZA?
Vipi ukimwona anakukabidhi funguo za Harrier na milioni mbili za matumizi yako binafsi, hutampanulia upaja umpe cha fasta??
 
ahaha we sasa hv najua ushalipuka... mifano yako haiendan
Wanaume tuna mbinu nyingi za kuwafanya wamama watupanulie mapaja... hiyo ya kufanya vikazi vya mahouseboys ni chaguo lako.... wengine wanapenda watuone kila mara tukiwa tunanukia harufu ya pesa...
 
Mchepuko wangu namba3 naona umeanza kuishiwa!
 
Kushindwa kutoa ni uvivu tu dada yangu.
 
Mbiti mbona mwandiko wako siku hizi unafanana sana na matamshi ya baba yako magufur au nyie ni ndugu
ahhaha sasa nimekuelewa !si yule kijukuu cha nan akajifanya et natoa SIRI!zikiitwa siri hii nayo siri !nimeona ananiiondolea furaha yangu ya leo !leo nipo full package,full mass nondo apite kulee
 
kama hivyo ndivyo ..mbona huwa mnawadharau watunza bustani ..maana hivyo vigezo vyote ulivyovitoa hapo vinawagusa wao ...hahaa

MBITI hizi ni mbwembwe tu ..kama Pesa hakuna lazima akimbiwe mtu ...

vijana wakiume tutafute Pesa aiseee "" maana hizo ndio shortcut yakila kitu " una sura mbaya na kitambi hcho lakini watakuvumilia hvyo hvyo aiseee "" ukiwa huna Pesa papuchi utaishia kuziona Google tu
 

nimeshndwa ht kukujibu maana bado hutanielewa !endelea kusoma comments !mie sijaongelea pesa kbs hapa
 
Hapa kuna nini swahiba???

Ila all in all.... you never know with women...

Swahiba hatuzuliani babu...hua nakutetea sana mara nyingine ukiwa unatafutwa huku uko wapi nasema tu tupo wote au nimekuacha sehemu kumbe unaning'inia mahali.

Tunafuatilia hapa orodha mujarab ya wanaume.
 
nimeshndwa ht kukujibu maana bado hutanielewa !endelea kusoma comments !mie sijaongelea pesa kbs hapa
najua hujaongelea Pesa ..lakini mimi nimetoka nje ya mada kidogo na kuwaeleza vijana kuhusu umuhimu wakuwa nazo ''maana wanaweza kuwa na hzo sifa zote ambazo umezitaja katika huu Uzi na mwisho wa siku wakaishia kwenye dimbwi la manyanyaso kwakuwa tu hawana kitu kitakachoweza kuwafnya waonekane na kuthaminiwa
 

sawa sawa!ila kwa 'mwanamke'na mwanaume anayeelewa ameelewa
 
sawa sawa!ila kwa 'mwanamke'na mwanaume anayeelewa ameelewa
hata mimi pia nimekuelewa ..hapo unawa kumbusha wanaume namna yakuwa wawajibikaji na wanyenye kevu na hizo ndio sifa ambazo anapaswa kuwa nazo mwanaume na sio mvulana ..mwanaume akitka mtu Fulani afanye jambo huwa anaonyesha yeye kwanza mfano ...kwa mfano akitaka watoto wake wawe wa nyenye kevu na wawajibikaji anaweza akaamka asubuhi nakufnya usafi ..kitendo chakufnya usafi kama kitapelekea watoto nao kujifnza nakuiga tabia yake ..nawao kesho hawatoona tabu kuamka nakuufnya huo usafi .....


nawasilisha. ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…