Ukipata jibu utaniambia mkuu. Ni juzi tuu walishatusema humu kwamba kuna wanaume wananuka jasho. Leo wanalifurahiaMpaka Leo Huwa Najiuliza Iv
Mwanamke Ana Hitaj Nin Kwa Mwanaume Bado Sijapata Jibu
Kimsingi mtoa mada anazungumzia umuhimu wa basic skills... kwamba hata kama pesa ipo, bado kuwepo na fursa ya kupunguza ukubwa wa tatizo kabla hajaitwa fundi! Naunga mkono hoja! Mtoa mada Ahsante kwa somo zuri
Kudos MBITIYAZA nahisi we have many things in commonhahaaaaahahahahhahahahahaa nilikua kwenye state hyo jana !acha kbs!ila fresh!
Sawa jirani. Tutajitahidi tufanye mnavyotaka.Hahahaaa. Eti gym inatosha lol.
Haya bana jirani ila hilo jasho la gym halitoshi bana. Hahahaaaa.
Nitoe tairi kwani mimi fundi makenika??Hahahaaa. Msg sent lol.
Nimecheka hiyo ya kutoa tyre walio wengi wanajua kuendesha tu na huwa ikifikia hiyo hali mpaka wawapigie simu mafundi wao waje kuwatolea na hata wale wanaoweza huwa hawatakagi kuchafuka.
Hatari sana Mbiti.
Kama nimemuelewa vizuri Mbiti anasemea wale wababa ndani ya nyumba yaani ana kazi nyingine kabisa ila kinyumbani nyumbani haitokei hata siku moja akawahi ona nyasi au fensi imekua akajiamulia kufanya kazi ya kuziweka sawa.
Ni mfano ana mifugo basi akaamua hata kuiwekea nyasi kidogo.
CC MBITIYAZA uje nikosoa kama nami nimeelewa sivyo.
Bhebhe lekagashi nkoy nkewane umbitiyaza, nkwelayo umwene bhana lekaga nkukoyahamo igosha, nilembaga ikema
Sasa kama nje nimeweka pavings na fensi yangu ni ukuta nilioweka marumaru... hilo panga na fyekeo nilatununua la kazi gani??
Gari kupata pancha ni uzembe... kwanini ununue tairi za bei chee?? Kwanini ukae na tairi kwenye gari kwa zaidi ya mwaka mmoja?? afu mzee kama mimi nimeajiri dereva kabisa, yani gari lipate pancha kwa bahati mbaya nihangaike kubadili tairi afu dereva atafanya nini??
Narudia tena, mi nakusalimu tu, huu mjadala haunihusu kabisaaaa....
Hapana hapo alimaanisha kwamba ukimuona mume yuko bize na kazi namna hiyo,unapata moyo/morali ya kupika hata na kanga moja,ili hata akija akitaka cha fasta ni fasta kweli hahaa si et MBITIYAZA?Hizi tabia za khanga hapana unaanza kupenda kuvaa nguo za kike kidogo kidogo
Pangako sayo.... Yna na Angelo ndo maisha yao hayoKukiwa na baridi anavua koti lake akukinge wewe