adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,625
Mimi binafsi nimekuwa naona wasichana ninaokuwa nao kimapenzi ni wajinga mbali na hapo hata wanaonizunguka yaani akili zao sijui zinakuwaje yaani nafurahi ninavyowafanyia kuwadanganya alafu akinipenda naanza vituko alafu namuacha, yaani akinililia nasikia raha alafu mimi nafukuza tu sitaki mazoea, acheni tu kuwaumiza wasichana raha sana imekuwa ulevi wangu alie pamoja na mimi big up sana.