The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
Bwana Bure HayupoKusoma ndio nimesoma na nimeelewa na nimeshituka pia ila tatizo nyege😬
Tafuta pesa kijanaKwema?
Mwanaume mwenzangu mwanamke anayekupenda kweli kabisa kutoka moyoni hakuombi helaa niamini mimi na ata akikuomba hela hakuombi direct kuna maneno tuu atakuambia alafu utajiongeza na ni mara chache saana atafanya hivo.
Sasa wewe ukiona unamtongoza mdada huna nae ata week kashaanza kulilia shidaa duuh huyo hakufai achana nae atakusumbua saana
She is a gold digger
Kusoma ndio nimesoma na nimeelewa na nimeshituka pia ila tatizo nyege[emoji51]
Ya Ku arrive there au sio??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mmoja jamaa hana nae hata wiki mbili walifahamiana barabarani na baadae wakajakujuana kumbe wanajuana kutokea kwao huko Moshi,
Jamaa akamwa proach binti kama atamuoa serously jamaa anaamanisha! Akamdokezea Machache jamaa anataka uhusiano wa aina gani si wa kupiga na Kuondoka.
Siku wamekutana Kwenye sehem ya Kinywaji dada analalamika Anadaiwa kodi mara ges Imekata!!
Ikumbukwe hapo jamaa alishampa vihela kama Ten Hivi na siku amekutana nae kwenye kinywaji pia Alimpa kitu kama nauli ya ku arrive there! Juzi demu kafiwa na anko wake jamaa kampa 10k kama nauli ya kwenda Msibani, juzi demu anaomba Atumiwe vocha! Jamaa hakutuma! Dem akawa kama amemaind! Akatamtakia jamaa usiku mwema saa 06pm!
Hivi huyu anaeza kuwa mke kweli kwa Jamaa?
Kuna mmoja jamaa hana nae hata wiki mbili walifahamiana barabarani na baadae wakajakujuana kumbe wanajuana kutokea kwao huko Moshi,

tusipangiane matumizi ya hela Mkuu fuata yako

Tafuta pesa kijana
Ya Ku arrive there au sio??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my [emoji482] using JamiiForums mobile app
Mpe Pesa mwanamke acha kujidanganyaa honga kadri ya kipato ulicho nacho nadhani duniani kusingekuwa na wanawake pesa isingekuwa na dhamanii
Mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu lakinii ninyi wanaume wenzangu mnataka mwanamke azae kwa uchungu na ale kwa jasho hiyo siyo kama huwezi kumtumza kuwa single tuu ukitanga upendwe gharamiaa bro oohoooo
Maandiko ya Mungu yanasema tuishi nao kwa akili...Kuna mmoja jamaa hana nae hata wiki mbili walifahamiana barabarani na baadae wakajakujuana kumbe wanajuana kutokea kwao huko Moshi,