Mwanaume mwenzangu ishi hivi na wanawake

Mnyiramba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
1,193
Reaction score
3,269
Kila kukicha kumekuwa na matukio tofauti tofauti wengine wanauana wanatuongezea mzigo wa tozo na wengine wanapeana vilema vya maisha kisa tu wivu wa mapenzi!

Mwanaume kamili inabidi ujiandae kisaikologia kuishi na Mwanamke ile usije ukaleta maafa baadae!inabidi ujue haya.

1:Kosa namba moja katika maisha usije ukawekeza kila kitu kwenye maisha ya Mwanamke either muda ama pesa jifunze kuwa na kiasi!
2:Usije ukajitoa ufahamu eti kwamba ni wako peke yako hiyo kitu hakuna hata kama umemkuta bikra
3:Wekeza sana muda wako kutafuta pesa na kufanya vitu unavyopenda tofauti kabisa na kuweka furaha yako kwa Mwanamke!
4:Weka akili kwamba ipo siku yeyote atakuacha aende zake kama alivyowaacha wengine na kuja kwako !
5:Mwambie Mwanamke ukweli kwa asilimia 25 kati ya 100 ambao hautakuletea madhara baadae!
Kwa leo ni hayo tu wengine watajazia nyama!
 
Siku hizi kila mtu ni mshauri wa jinsi ya kuishi na mwanamke , huyu anashaur hvi huyu naye anasema hvi , kilichopo ni kuishi na mwanamke Kwa vile unavyoona vyema ..., Akikushinda unapiga chini unaendelea na maisha mengine
 
Uko sahihi jombaa

Watoto ndio wahanga wa vurugu zote kwenye ndoa
 
Kila kukicha kumekuwa na matukio tofauti tofauti wengine wanauana wanatuongezea mzigo wa tozo na wengine wanapeana vilema vya maisha kisa tu wivu wa mapenzi!

Mwanaume kamili inabidi ujiandae kisaikologia kuishi na Mwanamke ile usije ukaleta maafa baadae!inabidi ujue haya.

1:Kosa namba moja katika maisha usije ukawekeza kila kitu kwenye maisha ya Mwanamke either muda ama pesa jifunze kuwa na kiasi!
2:Usije ukajitoa ufahamu eti kwamba ni wako peke yako hiyo kitu hakuna hata kama umemkuta bikra
3:Wekeza sana muda wako kutafuta pesa na kufanya vitu unavyopenda tofauti kabisa na kuweka furaha yako kwa Mwanamke!
4:Weka akili kwamba ipo siku yeyote atakuacha aende zake kama alivyowaacha wengine na kuja kwako !
5:Mwambie Mwanamke ukweli kwa asilimia 25 kati ya 100 ambao hautakuletea madhara baadae!
Kwa leo ni hayo tu wengine watajazia nyama!
Kwa kuongezea mwanaume inabidi awe mwanaume kwa kuwa na upeo mpana na kuelewa namna ya kuendesha maisha yake kuyafanya yawe "a successful enterprise"
 
Hakuna formula maalumu ya kuishi na mwanamke maana KILA mmoja huja na tabia zake na pili binadamu hana tabia moja ubadilika badilika
Uko sahihi pia jombaa, ila

Unaweza ukaacha ukaoa mwingine ukatumbukia shimoni kabisa. Na ukianza kuacha utaacha mpaka basi then utagundua wote wanafanana bora ningebaki na yule wa mwanzo
 
Kila kukicha kumekuwa na matukio tofauti tofauti wengine wanauana wanatuongezea mzigo wa tozo na wengine wanapeana vilema vya maisha kisa tu wivu wa mapenzi!

Mwanaume kamili inabidi ujiandae kisaikologia kuishi na Mwanamke ile usije ukaleta maafa baadae!inabidi ujue haya.

1:Kosa namba moja katika maisha usije ukawekeza kila kitu kwenye maisha ya Mwanamke either muda ama pesa jifunze kuwa na kiasi!
2:Usije ukajitoa ufahamu eti kwamba ni wako peke yako hiyo kitu hakuna hata kama umemkuta bikra
3:Wekeza sana muda wako kutafuta pesa na kufanya vitu unavyopenda tofauti kabisa na kuweka furaha yako kwa Mwanamke!
4:Weka akili kwamba ipo siku yeyote atakuacha aende zake kama alivyowaacha wengine na kuja kwako !
5:Mwambie Mwanamke ukweli kwa asilimia 25 kati ya 100 ambao hautakuletea madhara baadae!
Kwa leo ni hayo tu wengine watajazia nyama!

Acha woga buana.
Fuata misingi ya imani, Jenga mahusiano sahihi, simama kwenye nafasi yako kama mwanaume kuendesha nyumba yako kwa taratibu sahihi uishi kwa raha katika ndoa yako
Malalamiko mengi ya ndoa ngumu wa kulaumiwa ni mwanaume mwenyewe maana yeye ndio anachagua na kuamua amuoe nani

ZABURI 11:3​

"Kama misingi ikiharibika, Mwenye haki atafanya nini?"​

Tatizo watu mnataka kuishi na mtu kimwili na kiroho. Kama tabia zake zimebadilika ishi nae kimwili. Wakati mwingine mchukulie kama bado anakua akikua ataacha. Ishi maisha ya kupotezea mambo mengine na sio KILA kitu kiende utakavyo wewe hapo ni lazima crash itokee
 
Unapotafuta mke tafuta ilipo roho yake, lakini unapompata tafuta kuvitunza na kuhudumia vyote roho na mwili
 
Chuchumsumari hata Mimi mwenye nimenyonyesha njemba sita naweza zitengeneza
Ila tabia sasa👋
Aaah labda ndala kupigwa jeki.
Kitu OG msumari ushakuwa ndala kinawezekana kweli.
Ukitaka msumari lazima miaka 30 ikuhusu.
 
Back
Top Bottom