Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 11,250
- 24,081
Binafisi huwa najiuliza mwanaume unawezaje kutoboa miaka hadi 50 kwenye ndoa huna mtoto nje ya ndoa na hata mchepuko huna yaani niwewe na ulokole wewe na usabato bahati mbaya kabisa unakuta mke wako kashakuambia kuzaa mwisho watoto 3 tu.
Na baada ya hapo kafunga uzazi na wewe bila hila ukalipokea hilo je huwa mnaweza vipi?
Mbaya zaidi kuna wanaume wenzetu hudiriki hadi na wao kufunga uzazi yaani kukatwa mirija yao.
Wanaume aina hii mara zote remote ya familia huwa inamilikiwa na mke wake muda wote.
Ebu tuambie una point gani ya maana ya kutueleza ama kutushauri kwenye kikao cha wanaume tulio zaa nje ya ndoa tukakuelewa na kufuata ushauri wako?
Karibu sana