Mwanaume mwenye akili ndogo umuona mwanamke ndio chanzo cha mafanikio yake

Kwa taarifa yako sijawai kupenda kuzaliwa kwenye hii duniani angeitoa lingekuwa jambo zuri kabisa
AHAHAHHAHAHAHHA UNAONA ULIVYO NA AKILI KUBWA!

sasa fanya hivi!
HAMA DUNIA!
WATAKULAZIMISHAJE KUZALIWA DUNIANI!
WE MWENYWE ULITAKA KUZALIWA JUPITER HUKO!

maaaaamae wallahi wanawake KONYOOOOOO!
MPAKA UNATAKA KUHAMA DUNIA!
huyo mwanamke aliyekutengua udhu ,NAOMBA NAMBA ZAKE!
nimpitie tukanywe balimi!
 
Mtoa mada utakuwa na stress

Nikupe mfano hai , kutoka kwangu binafsi, mimi ni mnasiliamali sijawahi kubadili aina ya biashara toka nimeanza bishahara hiyo, kwa miaka saba ya mwanzo toka nianze kufanya biashara , nilikuwa napata faida nzuri sana , biashara ilikuwa haina vikwazo na changamoto zilikuwa chache sana , by then nilikuwa bachelor , trust me sikufanya lolote la maana katika mazingira hayo , zaidi ya kuneemesha washkaji,
Mwaka wa nane nikaamua kukaa na mwanamke mama wa nyumbani tuu, by then idea ilikuwa ni kupunguza interactions na washkaji wa ovyo, maana chumba nilichopanga kilikuwa kama danguro kipindi nipo bachelor , yani mshkaji akipata demu anajua geto lipo kwangu, trust me ndani ya mwezi nilimudu kununua kiwanja kikubwa tu, mambo mengi yamefanyika
mwanzoni nilikuwa mbishi kuapreciate the scenario, lakini baadaye nilishindwa kujizuia na nikamwambia ukweli wote na ndio, mke wangu kwa ndoa kabisa sasa

zeros in arithmetic, do not have value but they are able to add value when they are behind number.
 
Mkuu siwezi kuamini mwanamke ata awe aje
 
Wanawake wengi wamechangia maanguko ya watu wengi tena wenye nguvu duniani. Angalia Adam na Hawa, Samson na Delilah, Cleopatra na Empror wa Roma..

Lakini pamoja na hayo wanawake wana umuhimu wao katika jamii. Bila wanawake wewe mwanaume usifikiri unaweza sana.

Kwanza unafikiri kwanini unaamka kila siku kwenda kwenye mihangaiko ili umake dough? Ni kwasababu ya mwanamke! Utakataa utasema ni kwasababu ya wanao, hehe sasa hao watoto umewanunua dukani?

Cha muhimu omba Mungu akupe mwenza ambae mwenye mapenzi, uvumilivu na busara muweze kuishi pamoja.

Katika maisha lazima uwe na purpose. Ila uweze kufight you need a reason, na hiyo reason mara nyingi chanzo ni mwanamke
Point
 
Kupatwa kwa mwezi kumekuja na mengi saaa mkuu sijui kafanywaje na dada zetu....muwe na huruma dads zetu...ona sasa
 
Mwanaume mwenye akili kidogo humuona mwanamke kuwa ndio chanzo cha mafanikio yake,tena husema kuwa bila mke wangu nisingefika hapa nilipo na wala nisingepata mafanikio haya niliyo nayo.Bila aibu kabisa unasema maneno hayo mbele za watu wazima,tena wenye akili timamu?Yaani leo wewe umekuwa mjanja sana kushinda Adamu,au umekuwa mwenye akili kumshinda Samsoni?

Maana hawa wote walitumbukia kwenye shimo na kumkosea Mungu kupitia wanawake,amini,usiamini,kubali kataa ila ukweli ni kuwa;mwanamke ndiyo barabara kuu ambalo hutumiwa na shetani ili kuingiza watu dhambini.
Shetani anapokuja kwetu kwanza hubisha hodi,na mwanamke anapoitikia na kufungua ndipo shetani hutawala maisha yetu.

Mwanamke ana 20% kuchangia katika maisha ya mwanaume kwa mazuri,ila ana 80% kuchangia katika maisha ya mwanaume kwa mabaya.
Hapo ndipo unapata kuona kuwa ni jinsi gani unafanya miujiza bila wewe mwenyewe kujua.

Ukiambiwa akamatwe simba toka porini,kisha uletewe uishi nae chumba kimoja hutakubali ukihofia kudhurika,lakini cha ajabu ni kuwa unaishi na mnyama mkali sana ndani,tena asiye hata na chembe ya huruma na wewe.ila humuogopi,umekwisha dhurika tayari.

Mungu awanusuru nyote mnaolala mmekumbatia matatizo
stress hizi
 
Back
Top Bottom