Mwanaume mtu mzima unayejitambua , mwenye watoto na familia , unaanzaje kumiliki line ya Halotel ?

Kama ni ukweli mtandao ungekufa, bado unadunda, waache na Niagara zao, ila wewe pambana na hali yako
 
M
Ni aibu kubwa sana mwanaume kumiliki line ya halotel.

Namba tu zenyewe hazina mvuto . Huduma zao ni mbovu kuliko. Huduma zao nyingi ni promotions kwa watoto wadogo , wanachuo , wanafunzi. Speed ya internet ni poorest

Ewe mwanaume mwenzangu , unawezaje kuwa na line ya halotel?
Hivi uko timamu kweli?
 
Kwa hiyo zimilikiwe na wanawake?
Mama yako, shangazi zako na dada zako umeishawanunulia?
 
Dogo katika huduma za Internet (Voda na Halotel) ndo washindani tembelea mikoa Miji na vijiji ambavyo halotel inapatikana ndo ujionee mwenyewe.

Back
Top Bottom