Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,098
- 8,206
Wewe kama ni mfupi usiogope utapata tu muda ukifika.
Me tall aisee,ila tuwapende na wenzetu..Hahaaa. Usijali Kaka ake.
Kumbe na weye mrefu mwenzangu. Safi sana.

Hahaaa. Kabisaaa. Tuwapende tu kwa kweli.Me tall aisee,ila tuwapende na wenzetu..![]()
![]()

Teh![]()
![]()
![]()
Swahiba nimecheka na mie jamaani lol.
![]()
![]()
![]()
![]()
tumekusamehe sababu umejua kuomba msamaha.Nadhani ni zile tabu zao sababu wengi wanasifika ni watata balaa na hawajiamini pia kutokana na ufupi wao.
(Wafupi mnisamehe)
tumekusamehe sababu umejua kuomba msamaha.
(mw/kiti wa wanaume wafupi.)
kwa kuwa na wewe Kaka ni mfupi naomba nirudie kuomba samahani kwa kweli
asante dada,![]()
![]()
![]()
kwa kuwa na wewe Kaka ni mfupi naomba nirudie kuomba samahani kwa kweli
![]()
![]()
![]()
Ila Duuh! Sitaki kuamini kwa kweli lol.
asante dada,
itabidi uamini tu

asante dada,![]()
![]()
Itabidi kwa kweli. Haya uwe na asubuhi njema kaka yangu Mfupi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hahahaaa. Hujaliona Swali lenyewe kwani?![]()
kakubananishaje
Mimi mrefu kotekote mpendwaHahahaaa. Hujaliona Swali lenyewe kwani?
Au na weye mfupi nini?
Habari mshikiYiiiii![]()
![]()
![]()
Lini sasaWewe kama ni mfupi usiogope utapata tu muda ukifika.
Aiseee!!Nawapenda ila si sana maana mie ni mrefu.