Mwanaume mbunifu hapati shida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaume mbunifu hapati shida

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tabutupu, Jan 25, 2011.

 1. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  [​IMG].  KAMA UMEKOSANA NA MKEO, AU GIRL FRIEND USIUMIZE KICHWA. WANAWAKE NI WEPESI KUJIRUDI KULIKO UNAVYO DHNANI, UBINIFU WAKO TUU NDOO UTAKUFANYA AKUFURAHIE TENA. BILA UBUNIFU HATA UKIMPA GARI, BADO MNUNO MWENDO MDUNDO.

  HAKUNA KITU KIZURI WANACHO PENDA WANAWAKE KAMA MWANAMUME MTUNDU NA MBUNIFU.
  HATA AKINUNA , HAPA KITAELEWEKA TUU.
   
 2. Supa.engineer

  Supa.engineer Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ngoj nakuja niwape technique ya kiufundi.
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Ukirudia mara nyingi hata surprises mwisho wa siku zinakuwa routine na zinazoeleka...
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  siku hizi maua yame expire...ni Vitz na Nadia au Spacio
   
 5. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  wewe utakuwa sio mbunifu, maana y ubunifu ni uwezo wa kuleta kitu kipya, kinapo hitajika.
   
 6. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  sio lazima iwe maua, utundu ndio inao hitajika. Inamaana utakuwa unaleta nadi kila siku. Nawe pia sio mbunifu.
   
 7. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  I know lakini mwisho wa siku even the expecting the unexpected inakuwa expected... ubunifu unafaa kwenye mahusiano lakini sio kama dawa ya wewe ukifanya kosa...., Ladies are wiser than that..., they need appreciation na sio danganya toto
   
 8. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Kwani ubunifu gani tunaongelea, hata kuomba msamaha pia kuna hitaji ubunifu na utundu kidogo. Wangapi wameomba msamaha wamegonga mwamba??.labda umelewa nini hapa kwenye hili thred, labda nimekosea to present ze maada.
   
 9. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Nimekuelewa mkuu lakini ukikosa ukawa genuine umejuta na kuonyesha kwamba umejirudi ni rahisi kumfurahisha mwenza kuliko kuleta usanii wa hapa na pale it might work for some time but in the long run atajua usanii wako
   
 10. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  hahahaha, sio usani. hata kama nienda kumnunulia NADIA ya mheshiiwa nkozkas, nitatafuta namana ya kulifanya tukio liburudishe roho yake. Au hata ukimletea kakitenge fanya utundu kidogo, atafuraj=hia kuliko kumwambie chukua kitenge hapo juu ya meza. Ubunifu ninao zungumzia hapa sio uwongo na kucheza na akili za mtu, ni ule wa kufanya kitu kipendeze. Ndio maana katika picha jamaa alificha maua, angeyaleta na yeye anayaona angeya tupa kabisa.
   
 11. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mh..mi wa kwangu hata achukie vp dawa ni kubebwa tu,nikimbeba kutoka chumbani mpaka sitting room then kumrudusha tena chumbani tayari napata tabasamu la ukweli..
  Kweli ni ubunifu tu, inabidi uwe kama mjasiriamali vile...
   
 12. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  hahahahahahahaha, Hapo mzee umenipa bonge la dili. na mi nitajaribu sikumoja. Ati hawachelewe kucheka!!!
   
 13. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Ni kweli usemayo.. lakini kuna msemo "Once bitten Twice Shy"... watu hususan wanawake ni rahisi kusamehe lakini hawasahau, wanaweza wakacheka wakafurahia lakini rohoni mwao ukaacha kidonda ambacho hakitapona na wewe kuendelea kumkosea ni kukitonesha kidonda hicho sasa ubunifu wako ni kama painkillers itafika wakati atakuwa chronic hata umpige sindano ya ganzi haitasaidia...., ila ukiwa genuine kwamba umekosea kwa bahati mbaya thats okay, au ni vizuri uwe mbunifu hata kabla haujakosa unless ukimpa zawadi atajua kuna kitu umefanya
   
 14. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Sasa nimekuelewa. sizungumzii makosa ya makusudi. nazungumzia wanaume wanao fanya bidid kuishi na wake zao. Hata kutokukosea inabidi uwe mbunifu. akikumbuka vile vituko vyako basi anaghairi. umemsikia sfm hapo juu yeye kazi yake ni kumbeba mke wake. sasa akikumbuka kule kubbwa kulivyo kutamu, kununa kutakuwa hasara kwake so, ubunifu ni mtaji kaka. tena anaweza akanuna makusudi ili umbebe tena.
   
 15. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Hapo mkuu umenikumbusha kisa changu na wangu wa zamani,kuna siku nilikuja na maua kumuomba msamaha baada ya yeye kunifumania,basi we...!!Kama nisingekuwa na mbio siku hiyo sijui ingekuwaje,maana yale maua ndio alianza kunitandika nayo,kisha zikafuata sahani kwa kuwa nilimkuta jikoni nilipotoka nje kukimbia nikasindikizwa na mawe,ilinibidi nikimbilie ukweni kwenda kuomba msaada wa kuombewa msamaha.
   
 16. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kumbe unasema hizo issue za kujikwaa za kila siku... hayo mambo madogo, madogo hayana neno... haya ni ya kuombana msamaha na kusamehana wote wawili, ni majukumu yenu.

  Mimi am talking about kukosa kweli... sio petty arguments..., za umesahau kuinua choo au umeacha bafu chafu..., au umebonyeza colgate upande mbaya.....
   
 17. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  .

  hapo adaveced ubinifu labda unaweza ukaokoa jaahazi. Ni namna tuu ya kuweza kujirekebisha bila kutengeneza pamanent fault.

  halafu sio mambo ya kujirudia. Na mwanamke mwerefu hawezi kununa zaidi ya kukurekebisha kwa hekima, ili kuzima pengo.

  Mie nazungumzia maisha ya kawaida.
   
 18. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #18
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  hahahahahahahaha, pole paka mweusi!!!!
   
 19. Dinnah

  Dinnah JF-Expert Member

  #19
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa style hii wanaume wa ake wanene wawe na wheelchair
   
 20. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #20
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  hahahahah, hata kukodi jirani asaidie mke acheke tena!! Jamani haya maisha shida????
   
Loading...