Mwanaume mbunifu hapati shida

:A S kiss: :A S kiss: :pizza: :pizza: :pizza: :A S kiss:
Nimeipenda hii,...
 
Ni kweli usemayo.. lakini kuna msemo "Once bitten Twice Shy"... watu hususan wanawake ni rahisi kusamehe lakini hawasahau, wanaweza wakacheka wakafurahia lakini rohoni mwao ukaacha kidonda ambacho hakitapona na wewe kuendelea kumkosea ni kukitonesha kidonda hicho sasa ubunifu wako ni kama painkillers itafika wakati atakuwa chronic hata umpige sindano ya ganzi haitasaidia...., ila ukiwa genuine kwamba umekosea kwa bahati mbaya thats okay, au ni vizuri uwe mbunifu hata kabla haujakosa unless ukimpa zawadi atajua kuna kitu umefanya

wewe wajua............................ wabeja sana
 
Wanawake ni wabunifu zaidi ya wanaume wengi!

Anaweza akikuona ni mkware basi anaweza akapiga deki na kanga moja ukipita kutaka uondoke kanga itadondoka ghafla Ima kwetu Uswazi akisonga ugali anaweza akakuita umtoe mdudu jichoni utamkuta kanga inaning'inia chini huku Kakaa bwatu chupi hana!
Usishangae ukiamshwa na kelele ya kitanda ukiamka utaona anadeki huku kainama kama alivyo zaliwa!
Hapo hwendi popote safari itakufa mwana!

Wametuzidi ubunifu halisia!
 
mmm, tunakazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom