Niende wap sasa? Au behaviourist anichukuetokaaaa
Yule anayajipodoa?Niende wap sasa? Au behaviourist anichukue
Nilipoona Aleppo nikakumbuka Pashtun ya Afghanistan, ambako hata njiwa wanaruka na ubawa mmoja huku mwingine ukiwa umefunika exhaust kwa ushetwani ulioko kule..... Yani kule hata bomba la moshi watu wanatamaniKiruuuu nahonga na nyumba ya uridhi na mashamba mawili
hapo nachenjua makinikia yoteee mwenyewe sihitaji kamati kabisa.
Ivi uku jf kuna wenye mtambo wa GBP? ata sim tank hakuna
Mwenye nao aniambia nimuhonge ile nyumba ya uridhi
Nilipoona Aleppo nikakumbuka Pashtun ya Afghanistan, ambako hata njiwa wanaruka na ubawa mmoja huku mwingine ukiwa umefunika exhaust kwa ushetwani ulioko kule..... Yani kule hata bomba la moshi watu wanatamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu nawewe ukamuamini kabisaaaa?Mwenye wimbo kashasema. . Mwanaume mashine haijakaa kingono. . Yeye kamaanisha kuchakalika na kupiga kazi
Sasa imagine unamkuta mtoto wa kiume soft halafu nyoronyoro kuzidi dem halafu anakunywa saint Anne pembeni ana chips mayai au analamba koniMshana Naona umewaamulia mkuu.... Ha ha ha ha ha ha.... Yaaani unataka kuniambia yale mambo ya wanawake ndo wameyachukua wao?
Haaa. Haaa. Haaa. Haaa. Kaka kwa Sisi huku Pwani tutaishia kusema: NTOTO HII MASHALLAH!Sasa imagine unamkuta mtoto wa kiume soft halafu nyoronyoro kuzidi dem halafu anakunywa saint Anne pembeni ana chips mayai au analamba koni
Sent using Jamii Forums mobile app