Naona arsenal anachana mkeka wako..umeamua ummalizie hasira huyu jamaa.Pumbavu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona arsenal anachana mkeka wako..umeamua ummalizie hasira huyu jamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila pesa pia unaweza kuwa na nguvu??Sawa kuwa na hela harfu uwe huna nguvu za kiume ndo utajua pesa na nguvu za kiume kipi heshima ya ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa pamoja na vumbi la kongo mi na kwambia hawa viumbe ukiyumba kwenye wareti basi we kata mauno na vyombo utaosha tu.
MKUU UNATUMIA KINYWAJI GANI?Hahaha nyie subiri muwe busy kutafuta pesa..wake zenu wanakuwa busy kujifariji na upweke kwa ubusy wenu...huwezi mridhisha binadamu hasa mwanamke...kikubwa tafuta mwanamke ambaye ameumbwa kuridhika tu hana makuu,halafu muheshimu mpende mengine utazidishiwa usijitese kuwamini pesa ndo mapenzi au itakupa heshima mbele ya mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu hujui utakula nini,utawaza kutiana kweli??..waliosema pesa ni kila kitu hawakukosea..ila hii haiapply kwa wenye matatizo ya kiafya ambayo kuyatibu ni kazi kubwa au hayatibiki kirahisi..Nguvu zinakuwepo waulize wenye hela waliopo kwenye ndoa wanavyo chapiwa kama hawana akili vizur wanawake waache kabisa akili zao akiwa na mwenye hela atatafuta wa kumshughulikia akiwa na wa kumshugulikia atatafuta mwenye hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu hujui utakula nini,utawaza kutiana kweli??..waliosema pesa ni kila kitu hawakukosea..ila hii haiapply kwa wenye matatizo ya kiafya ambayo kuyatibu ni kazi kubwa au hayatibiki kirahisi..
Sasa wewe usiwe na hela,then tafuta nguvu zako za kiume ili uwachape wake za watu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli mkuu..ukiwa huna hela ya kufanya mahitaji yako ya kawaida nguvu hazipo hapo..watu wanasemaga tu dar kuwa chips ndo tatizo,ila pia stress za maisha ndo tatizo kubwa..Hahahahaa ila kumbuka mke wa mtu sumu ila tatizo la hizi hela sasa ukiwa na hela na nguvu nazo zinakimbia unakuwa mchovu kwenye mambo hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Balimi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]MKUU UNATUMIA KINYWAJI GANI?
ha ha ha hajar wewe ha ha haHahaaa. Vinaenda pamoja aisee hakuna aliyemzidi mwenzie.
Ukiwa na mashine halafu huna pesa ni bure na ukiwa na pesa huku mashine mbovu ndio bure kabisaaaa.
CHUKUA NISHALIPIA