Maana yake wewe ni mtu wa mazoezi au kazi ngumungumu ndio maana mwili wako una uhitaji wa chakula cha kutoshaNdo ivo mkuu , nikila kiduchu huwa sijihisi nmeshiba
Niliwah kwenda mahali, wanauza viugali jerojero
Ilibidi niwe nakula Vitatu vitatu tu na nyama ya kunyoma yakutosha [emoji23]
MTU mmoja?Kisha upate Papai , Unywe Maji Nusu Lita
Baadae Upige shooo shooo !!
Ataanzaje kukuletea mapozi?.View attachment 1654607
Ndio mkuuu , msosi wangu mimi ninayeleta mazagamazaga homeMTU mmoja?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana mkuu.. Labda mazoez, nayo ni yakukimbia tu na kupiga ball izi siku za weekendMaana yake wewe ni mtu wa mazoezi au kazi ngumungumu ndio maana mwili wako una uhitaji wa chakula cha kutosha
pamoja mdau[emoji23][emoji23] Mkuuu , huwa sipo mchov ivo
Anyway tutapeana mrejesho
Nilijua tu Wanaume wa Dar mtaanza kusema kingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi kazi yangu ni ya ubongo tu na kalamu .
Daah sio upuuzi mkuuYaani maandalizi Kwa ajili ya tendo, upuuzi
Kua na Aman Ndugu, niko vzuri kabisa .Basi utakuwa mgonjwa, ningekuwa wewe ningeenda kupima, ...
Kua na Aman Ndugu, niko vzuri kabisa .
Sema ndio ivo kwenye kula, Nakula kwelikweli.
SemaKajojo kajojo
Mbona chakula cha kawaida tu hicho.Kwa nini unakula chakula kingi namna hiyo ? Kwani unafanya kazi ngumu au unakula mara moja tu kwa siku ?
Mbona chakula cha kawaida tu hicho.
AsanteMkuu , Karibu sana, Jmos moja au jpl
Siku moja uje tujumuike kuupiga msosi
Ko apo umejiona umekula??Kama huna nguvu huna tuKisha upate Papai , Unywe Maji Nusu Lita
Baadae Upige shooo shooo !!
Ataanzaje kukuletea mapozi?.View attachment 1654607
Anaenda kambini??!!Huyu mwamba Ni noma.
View attachment 1654618