Mwanaume laini laini hamalizi huu

Weka ile picha mwamba kabeba ugali begani sio huo ugali uko kwenye sahani ndogo ivo.
Alaah unataka picha ya Tongee

Wee umeshaambiwa Kidume chenyewe cha Kanda ya Ziwa[emoji23][emoji23][emoji23]

Nadhan unajua Tonge zetu huwa mbilimbil, unamega Kubwa, wakat moja umeshaliweka kwa mdomo, jingine unaendelea kulitengeneza [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa nini unakula chakula kingi namna hiyo ? Kwani unafanya kazi ngumu au unakula mara moja tu kwa siku ?
Nilijua tu Wanaume wa Dar mtaanza kusema kingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Mimi kazi yangu ni ya ubongo tu na kalamu .
 
Mimi sio mwanaume wa darisalama ila swala la kula inategemea kazi anayofanya mtu au mazoezi.

Huwezi kula chakula kingi kama kipo muda wote alafu hufanyi mazoezi
Ndo ivo mkuu , nikila kiduchu huwa sijihisi nmeshiba

Niliwah kwenda mahali, wanauza viugali jerojero

Ilibidi niwe nakula Vitatu vitatu tu na nyama ya kunyoma yakutosha [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…