Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Mpendwa hujui kinga?? Njia za kuzuia mimba zipo kibao. Kila siku unajisahau au? Ushajijua wewe ni gusa uvimbe juu, kwa nini usichukue tahadhari? Mnawapa shida watoto mnaowazaa. Mtoto kulelewa na mama yake mzazi ni tofauti kabisa na kulelewa na mama mwingine.Haya mambo wachie wenyewe. Mm kila msichana nikukutana nae anapata mimba waliozaliwa ni 2 aliepo tumboni 1 sas juzi kati nimesema nioe daahh mtihn mgumu nimuoe nani n nwache nanI
Haha shikamoo pesaKwa kizazi hiki me kama me sidhani kama nitaelewa japo sitamuacha hasa kama bado yupo vizuri mfukoni.. ila kama anafanya ujinga na pesa hamna namuacha live live hata amini
Mchaga OGKwa kizazi hiki me kama me sidhani kama nitaelewa japo sitamuacha hasa kama bado yupo vizuri mfukoni.. ila kama anafanya ujinga na pesa hamna namuacha live live hata amini
Kwa kweli ni bora niolewe tu na single daddy, maana mtoto nimemkuta na nikakubali kwa hiari yangu kuwa ntakuwa mama yake, nikaamua mwenyewe nipende boga na ua lake. Kuliko mtu aniletee mtoto wa nje (mchepuko) ndani ya ndoa. Mungu aniepushe na kikombe hicho, maana heeeeeeeeeKukuta hata na Watoto sita Ndo tukaoana haina shida kabisa ila tupo wote tena ukaongeze mwingine kwa kweli changamoto
Kubwa inategemea na wewe utakavojieleza na kukiri kosa kuzidisha upendo labda ntakaa ila ndo wale amekosea bado anakuwa mkali tena sijui kwa kweli
Mapenzi yanauma ukisalitiwa sidhani Kama ntakupenda Kama awali
Ukitaka kukaa na mkeo vizuri mfanye akuamini na mtreat vizuri Hivi nkivikosa mweeeee inakuwa mtihani kidogo
Kama wanahitji wenyewe .na kila Mmoja anahitaji nimsaidieJeMpendwa hujui kinga?? Njia za kuzuia mimba zipo kibao. Kila siku unajisahau au? Ushajijua wewe ni gusa uvimbe juu, kwa nini usichukue tahadhari? Mnawapa shida watoto mnaowazaa. Mtoto kulelewa na mama yake mzazi ni tofauti kabisa na kulelewa na mama mwingine.
Na wanawake tuache kuwazalia boyfriends. Nyuzi nyingi za namtafuta baba yangu, ni za watoto waliozaliwa nje ya ndoa (kabla hajaoa na za michepuko). Tuwahurumieni watoto wetu
Hahaha some shoes are too big to fillNitaweza kulijibu litakaponipata.
Kwakweli my dota, maswali mengine ukiyasoma unahisi kutetemeka, hapo hata halijakupata!Hahaha some shoes are too big to fill
Sawa sperm donor, endelea kusambaza misaada. Time will tellKama wanahitji wenyewe .na kila Mmoja anahitaji nimsaidieJe
Hao wawili waliozaliwa na aliyepo tumboni WOTE ni mama tofauti?? I mean kila mmoja na mama yke?Haya mambo wachie wenyewe. Mm kila msichana nikukutana nae anapata mimba waliozaliwa ni 2 aliepo tumboni 1 sas juzi kati nimesema nioe daahh mtihn mgumu nimuoe nani n nwache nanI
Habari zenu wakuu,
Naombeni kuuliza, hasa wanawake wanaweza kuwa katika position nzuri sana. Inapotokea mume wako umemkuta na mtoto, ukakubali akakuoa na mkafanikiwa katika ndoa kupata nae mtoto mmoja. Lakini ikatokea huyo mume wako akazaa na binti mwingine tena nje ya ndoa.
1. Utaweza kuendelea na relationship hiyo?
2. Kama utaendelea, je unaweza kuwa na kiwango kile kile cha mapenzi kama mwanzo?
3. Je, unaweza ukatamani kuvunja ndoa ila kwa sababu wewe ni mwanamke ukashindwa? Au utaendelea kwa sababu ya neno "uvumilivu"
Nawasilisha.
Kuendelea inategemea na upendo wako kwake? Na pia je anakudharau? Kama hapana unaweza komaa na ndoa yako as long as unampenda na mnaelewana ila kama hivyo havipo basi we jiondokee aingie ndani huyo mama mtoto .. je dini yako inaruhusu , ndoa za mitala kama ndiyo awe mke mdogo.. mama yangu alikomaa na baba lakini kubwa ili kuwa upendo na mpaka sasa hivi wapo mtoto anasomeshwa aliyezalishwa hana mbele wala nyuma..
Tatizo ndoa zetu hizi za kikristu hazivunjiki hadi kifo. . . Ningevumilia ila upendo na uaminifu kwa mume wangu ungepungua
Ila kama ni uislam taraka fasta
umemkuta na mtoto wa nje ukapotezea akadunga tena nje akaleta tena mtoto mara amedunga tena nje mtoto yaani ni series ww upo tu unavumilia itakuwa una ganzi ama nini??
Mhhhhhh sina experience na hii situation....kwa niliowahi shuhudia walipitia hii hali waliishia kuvunja ndoa zaoo
Nikirudi kukupa ushauri..angalia tuu moyo wako unasemajee jipe muda utafakari kwa umakini pima pande zote mbili za maamuzi yakoo,mshirikishe sana Mungu akupe hekima na busara kwenye maamuzi yako
Kuna muda mwanamke kwa udhaifu wetu kma binadamu, ni ngumu sn kuvumilia. Muda wowote atakapohitajika kuwasiliana na mtoto au kuambiwa shida za mtoto, mwanamke ukijua atakuwa ni kama anatonesha kidonda upya kbs. Kuna muda inawezekana baba akatakiwa kutimiza majukumu fulani nyumban, mathalani fedha au chochote, na atakaposhindwa kutimiza, wazo litakalokuijia kichwani ni kwmb amehudumia sehemu nyingine, hta kma kweli hana. Kiukweli ni rahisi sana kufanya revenge na jamaa akakosa nguvu ya kureact kwani yy ndo mkosefu namba moja
Kikombe hiki kituepuke, AmenKwakweli my dota, maswali mengine ukiyasoma unahisi kutetemeka, hapo hata halijakupata!
Hujaelewa tuliaHao wawili waliozaliwa na aliyepo tumboni WOTE ni mama tofauti?? I mean kila mmoja na mama yke?
Hahaha "Mpaka kifo kiwatenganishe"Mtu akizaa nje ya ndoa sio bahati mbaya kaamua. Wacha azae awezavyo ila siri zangu hazimuhusu tena namchukulia kawaida maana najua mkiongea kitu nyeti lazima ataeaambia hawara zake! Hivyo ntamuheshimu tu kama mume ila mambo mengi hatutahusiana kuanzia uchumi n.k Hadi kifo kitutenganishe.
Solution yaweza kuwa nini, maana tayar mke kwa kutumia intelijensia yake ameshagundua.Yaani mtoto wa nje umpate ndani ya ndoa halafu umtambulishe kwa mkeo?
Haiwezekani ng'ombe dume atoke zizini kwako akazae zizi lingine halafu udai ndama wako!
Ni dharau sana kwa mkeo, na familia nzima.
Hahaha "Mpaka kifo kiwatenganishe"
He he he ahsante madamNdioooooo idara hizi zitatenganishwa mi mwanaume akioa asifikiri nitaondoka! ataondoka yeye na huyo wake mpya. Hata kama tendo hatufanyi siondoki.