Mwanaume kuwahi kumaliza anapofanya tendo la kujamiana

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,141
UUME KUSINYAA.jpg

Mwanaume kuwahi kumaliza anapofanya tendo la kujamiiana


Kutoka mbegu za kiume muda mfupi baada ya kumwingilia mwanamke huitwapremature ejaculation. Huu ni udhaifu wa kawaida kwa wanaume walio wengi kwa ujumla wake, ikiwa ni pamoja na vijana. Mtaalamu Ira Sharlip anasema katika utafiti wake kuwa, ni kiasi cha asilimia 20 hadi 30 ya wanaume wa rika zote ambao wana matatizo haya.

Njia za kitabibu za kuweza kumtambua mtu mwenye udhaifu huu inaitwa Intravaginalejaculatory latency time (IELT). Hata hivyo, mtaalamu Ira Sharlip anaongeza kwa kusema kwamba, utaratibu huu hausaidii sana kumjua mtu mwenye premature ejaculation. Kuna wanaume ambao wanamaliza katika dakika moja tu baada ya kumwingilia mwanamke na wao hudai kwamba, hawana matatizo.

Na halafu upande mwingine, kuna wanaume ambao wanaweza kuchukua dakika 20 bila kutoa mbegu baada ya kumwingilia mwanamke. Hawa nao ni wagonjwa, kwani muda huo ni mkubwa kuliko wastani. Kwa maana nyingine ni kwamba, maana ya nenopremature, zaidi zaidi liko katika mtazamo wa mhusika mwenyewe. Inategemea na mtu mwenyewe anavyotosheka kimapenzi na uwezo wake wa kujidhibiti muda wa kumaliza unapokuwa umewadia.

Utafiti wa mwaka 2010 katika jarida la Journal of Sexual Medicine uliona kwamba, kipimo kizuri cha premature ejaculation ni dakika 5.4. Yaani mtu akitoa mbegu baada ya dakika pungufu ya hizo, tangu amwingilie mwanamke basi ana ugonjwa huu wa premature ejaculation.

Lakini Ian Kerner anasema kipimo ni dakika mbili. Yaani mwanaume akimaliza haja yake kabla ya dakika mbili, basi ana ugonjwa huo. Anaongeza kwamba, watu wengi anaokabiliana nao ni wale ambao wanatumia muda mfupi chini ya dakika mbili kumaliza haja zao. Wengine hutumia sekunde 30 tu!

Pia hata sababu za nje zinaweza kuchangia kumfanya mwanaume akawa na tatizo hili. Mtu mwenye mawazo mengi ni rahisi kukumbwa na tatizo hili. Mtu mwenye mawazo mengi anamaliza haraka mara baada ya kumwingilia mwanamke, kwa mujibu wa mtaalamu Kerner.

Lakini kumaliza kwa namna hii pia kuna uzuri wake kwamba, tumejaza dunia kwa kuwa na watu wengi. Kama watu wangekuwa wanachukua saa nzima kumaliza baada ya kumwingilia mwanamke, dunia ingekuwa na uadimu wa watu!

Washauri nasaha wanaojihusisha na ushauri wa kimapenzi na matibabu wanatoa tiba mbalimbali kwa ajili ya watu wenye wasiwasi; wasiwasi ambao huwafanya wawe wanamaliza haraka sana baada ya kumwingilia mwanamke.

Kuna dawa ambayo mgonjwa akipewa zinamsaidia kurefusha muda wa kuendelea na tendo, baada ya kumwingilia mwanamke. Dawa hizo ni kama zile za kupooza msongo wa mawazo. Pia kuna mazoezi ambayo yanashauriwa kufanywa. Mazoezi haya humsaidia mtu kujenga upya mkabala wa namna anavyochukulia tendo.

Lakini pia njia iliyo rahisi zaidi ili kutokuwa mwepesi wa kumaliza haraka ni kujizoeza kuacha kulifikiria tendo hilo la ngono unapokaribia kufikia kileleni (kwa kufanya pole pole zaidi au kufikiria mambo mengine ya nje kama ya mpira, mfano Yanga na Simba au Manchester na Chelsea). Jenga mazoea kufanya namna hiyo. Ukizoea itakuwa ni kama kitu cha kawaida kwa kujikaza kisabuni na kuhakikisha unamsubiri mwenzio ili mwende pamoja kileleni.

Kila kitu ni kujifunza. Ukijizoeza kujikakamua bila kumaliza hata katika hali ya ham ya juu kwa kumsubiri mpenzi wako, tatizo la premature ejaculation litakuwa limethibitiwa. Hii ni kwa mujibu wa mtaalamu Prosterman.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Nipo Busy na Wagonjwa wa Ukimwi,Hepatitis B Virus,Wagonjwa wa Maradhi ya Saratani zote, Wagonjwa wa Stroke aka Kiharusi ,Wagonjwa kisukari, Wagonjwa wa Maradhi ya Presha na Wagaonjwa wa Mapepo wachafu aka Wagonjwa wa Mashetani .Ndio maana nimepotea kaka lakini nipo huwa ninachungulia kila wakati. Vipi mzima lakini?
 
Utafiti gan huo sasa???

Binafsi izo dakika 20 ulizosema ni ugonjwa ,basi mim nitakua naugonjwa sugu maana izo ni nusu yake .

Suala la kumaliza mapema au kuchelewa nisuala ambalo mwanamme ndo unatakiwa kuliongoza unless uwe na matatizo.
 
Nipo Busy na Wagonjwa wa Ukimwi,Hepatitis B Virus,Wagonjwa wa Maradhi ya Saratani zote, Wagonjwa wa Stroke aka Kiharusi ,Wagonjwa kisukari, Wagonjwa wa Maradhi ya Presha na Wagaonjwa wa Mapepo wachafu aka Wagonjwa wa Mashetani .Ndio maana nimepotea kaka lakini nipo huwa ninachungulia kila wakati. Vipi mzima lakini?
Mzizi nahitaji dawa ya hernia
 
Nipo Busy na Wagonjwa wa Ukimwi,Hepatitis B Virus,Wagonjwa wa Maradhi ya Saratani zote, Wagonjwa wa Stroke aka Kiharusi ,Wagonjwa kisukari, Wagonjwa wa Maradhi ya Presha na Wagaonjwa wa Mapepo wachafu aka Wagonjwa wa Mashetani .Ndio maana nimepotea kaka lakini nipo huwa ninachungulia kila wakati. Vipi mzima lakini?
Poa poa kiongozi, nahitaji mkuyati na ndere nikucheki?
 
Mimi nawahi kumaliza ila awamu ya pili nachelewa sana kumaliza mpaka nahisi nakuwa kero kwa mwenzangu.
 
This shit is natural some people are made to be one minute man. Don't tortur your dick too much
 
Hili ni mojawapo kati ya matatizo makubwa mawili yanawaathiri wanaume, lingine likiwa upungufu wa nguvu za kiume. Wakati mwingine matatizo haya hutokea kwa pamoja.

Mwanaume atasemwa kama ana tatizo la kuwahi kufika kileleni endapo anamwaga kabla au ndani ya dakika moja baada ya kuingia kwa mwanamke. Hali hiyo inaweza kutokea katika karibu kila mara mwanaume anaposhiriki tendo na inaweza kuleta mzozo au stress kwa wanandoa.

Karibu asilimia nne mpaka asilimia 30 ya wanaume wanaathirika ba tatizo hili. Asilimia ni kubwa zaidi kw jamii ya Asia na Waafrika, lakini iko chini katika jamii ya Wazungu. Katika jamii ambako mapenzi huchukuliwa kama ligi, asilimia ni kubwa.
 
Back
Top Bottom