hata prince charles alikuwa anamwambia maneno haya haya diana kumbe anatoka kwa camilla parker bowles.We ngoja usitoke huko salama!!
Alafu wewe mazungumzo gani unaongelea? Hiyo juzi nlikua Dar kumsaidia mupenzi kuhama kwahiyo hata kama unajaribu kuchokonoa imekula kwako hiyo.
Hahahahaa. . .Byshanga unalo. Sasa we mwenzio kanikumbatia saa hizi we unataka uuze nyumba alafu iweje? Utulipie kodi?TF,ya Lizzy na kinyonyeo wala yasikukondeshe,huyu lactogen saizi yangu,mi na yeye tupo kandahar,we sikilizia muziki cnn,mi ndo bishanga bana,ka vipi ntauza hata nyumba yangu Tenerife niwekeze kwenye mtanange huu.
hata prince charles alikuwa anamwambia maneno haya haya diana kumbe anatoka kwa camilla parker bowles.
You've been dumped coz your game is whack!
Hahahahaa. . .Byshanga unalo. Sasa we mwenzio kanikumbatia saa hizi we unataka uuze nyumba alafu iweje? Utulipie kodi?
Kongosho. . .
Koniie obheja gete...unene hu'ung'wenga wing'we!!
Bishanga. . .
Hivi we unajua kua Arumeru Mashariki watu wananyongwa siku hizi?!Ongea vizuri na Bwa'Nchuchu nikwachie ghetto langu la UngaLi wakati nahamia TMK.
Bwa'Nchuchu. . .
Wasukuma bana. Bishanga namchekea tu asije akakosa chakujifagilia hapa mjini.
Lizzy,kwa lugha nyingine my suspicions are true?Hahahahaa. . .Byshanga unalo. Sasa we mwenzio kanikumbatia saa hizi we unataka uuze nyumba alafu iweje? Utulipie kodi?
Konnie kwavile tu nimejitahidi kidogo sio ndio unipoteze kabisa bana. Nisaidie hapo kidogo.Lizzy, salute salute.
Sasa sijui hongera nitoe kwa mwalimu kwa mbinu za ufundishaji au kwa mwanafunzi kuwa na akili sana.
Tulihoyi mkaya, lelo ulikadema pye eng'ombe.
konnie anakupoteza wewe,just listen to what the mighty bishanga says and you will live happily forever dear.Konnie kwavile tu nimejitahidi kidogo sio ndio unipoteze kabisa bana. Nisaidie hapo kidogo.
Hahahaha. . .hongera kwa mwalimu na mwanafunzi.
konnie anakupoteza wewe,just listen to what the mighty bishanga says and you will live happily forever dear.
konnie anakupoteza wewe,just listen to what the mighty bishanga says and you will live happily forever dear.
matokeo yapi? Kwamba bishanga is in arumeru to stay?Teh teh teh....wewe kubali matokeo tu.
kha! Do i need to say anything more? Au niseme yote yaliyojiri last week tukiwa sehemu flan east coast znz last week?We utanipa nini ambacho Bwa'Nchuchu hanipi?
kha! Do i need to say anything more? Au niseme yote yaliyojiri last week tukiwa sehemu flan east coast znz last week?
kwamba wewe na kangedere kako you are an item.
Unauliza makofi polisi???
Kusoma hujui hata picha huoni, kweli usee ni mboga za majani.
Naona bado uko kwenye njozi
kwamba wewe na kangedere kako you are an item.