Mwanaume kuwa na wanawake wapenzi zaidi ya mmoja... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaume kuwa na wanawake wapenzi zaidi ya mmoja...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtoboasiri, Aug 20, 2010.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2010
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Waungwana;

  Naomba maoni yenu. Kwa mtazamo wa Kiafrika (au niseme labda wa Kitanzania) wa jadi hoja ya mwanaume kuwa na mwanamke mpenzi mmoja tu ni ya zama hizi au toka kale? Nimekuwa nikiulizia sehemu mbalimbali, sijawahi kusikia kabila hata moja lililokuwa na utamaduni wa mwanaume kuwa "restricted" kwa mwanamke mmoja tu.

  Kwa mantiki hii ni wazi kuwa kwa asili Watanzania ni "polygamists" -kama si kwa kufanya hadharani basi faragha i.e. "concept" ya nyumba ndogo. Mila ya kuwa na mke mmoja haipo na imekuwa "imposed" na kanisa - nasisitiza kanisa maana wasomaji wa Biblia watakuwa wamesoma habari ya mababa wa imani wengi tu waliokuwa na wake wengi tu. Ndio maana kuna hi dhana leo kwenye jamii kuwa wanaume wa sasa si waaminifu kwenye ndoa zao.

  Which reminds me to ask...jamaa zangu wafugaji, kwenye zizi la ng'ombe/mbuzi "ideally" huwa kunapaswa kuwa na madume sawa na majike?
   
 2. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nawasubiri wabeijing hapa............................
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  NGOJA NISUBIRI NIONE HUKU NIKIWA NAPATA KWANZA:tea:
   
 4. M

  Mundu JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Wewe unaona kipi ni sawa?
   
 5. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2010
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Swali gumu muungwana. ni sawa na kuniuliza nguo gani nzuri :becky:. Hoja yangu ni kupata maoni "on the basis" ya utamaduni wetu. Nashindwa kuona mantiki ya jamii kupima kosa/uzuri wa kitu kwa vigezo vilivyo tofauti na utamaduni wa jamii husika.
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mtoboasiri;

  Huna haja ya kusumbua kichwa: Mwanaume wenye fikra sahihi hawezi ku-stick na Mwanamke mmoja! (sina ganda wala risasi). Wengi siku hizi wana-pretend kuwa waaminifu lakini katika uhalisi, wanaume asilimia kubwa lazima atoke nje once and a while.

  :eyeroll2:
   
 7. D

  Dick JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka oa hata kumi, mila hazikatai ila dini ya kikristo ndo inazuia. Cha msingi service equitably!
   
 8. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,739
  Likes Received: 3,173
  Trophy Points: 280
  Well spoken mila haikatazi ni dini ya kikristo inakataza. Uamuzi ni wako kutokana na imani yako
   
 9. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mmmh nahisi uelewa wangu mdogo, hebu tuje kwenye uhalisia mwanamme kuwa na wake wengi, anakuwa anawapenda wote au ndo tamaa za kula ladha tofauti
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Aug 20, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Tamaa tu....
   
 11. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #11
  Aug 21, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145

  Rejea thread hii, "Hii ikifanikiwa kwa 100%, itakuwaje"? Naamini utapata tunakoelekea...!
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Maumbile ya mwanaume ni complicated sana, na yako extenally located!
  Mwanamke anapitia vipindi mbali mbali vya maisha kama ujauzito, uzazi, hedhi, ambapo mara nyingi ni ngumu sana kwa mwanaume kuvumilia vyote vipite akiwa anasubiri bila kupata ile maneno, ndiyo maana wengi huishia kuwa na wapenzi wa nje kama silaha ya msaada!.
  Lakini yote haya ni kujiendekeza, yawezekana kabisa kuishi na mmoja!
   
 13. P

  Paul S.S Verified User

  #13
  Aug 21, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu hiyo sio tamaa sikubaliani na wewe
   
 14. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #14
  Aug 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Kumbe ndio hivyo Baba Enock duh sioni hata haja ya kuchangia hii Topic
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Aug 23, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  Ukiwa na mmoja unaweza ukajikuta umekumbwa na fistula
   
 16. Jumboplate

  Jumboplate Senior Member

  #16
  Aug 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2008
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwani nani kasema huruhusiwi kupenda zaidi ya mmoja??? kwanza kuoa si lazima uwe umempenda mtu...
   
 17. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #17
  Aug 23, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  asante kwa mchango wako safi na sawiaaa..mi mwenyewe ndo niko kwenye mkondo huoo huooooo...nagonga moja moja ,mbili mbili tatu chalii..nikirudi home kama sio mimi
   
 18. Mnene 1

  Mnene 1 Senior Member

  #18
  Aug 23, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ama kweli Dunia imeisha, ni nyakati za mwisho sasa tunaishi....
  watu mnahalalisha hata yasiyo halali..????
  Inakuaje mkeo akiwa na wanaume wengine?? utajisikiaje we mwanamme??
   
Loading...