Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,128
- 33,510
Linapokuja suala la kuoa au ku-settle na mwanamke, preferences za wanaume huwa zinawachukiza/zinawakasilisha wanawake. Jamii ya wanawake wa kisasa wametenengeza narrative preferences za mwanaume zionekane ni makosa, na wapo masimp na wanaume wasiojua thamani zao wamechotwa akili.
Mwanaume akiongea yale anayoyata kutoka kwa mwanamke, wanawake wengi wanatibuka nyongo. Kwanini? Kwa sababu hawana hivyo vigezo, hawaelewi mantiki ya mwanaume au wanaelewa lakini maelezo yamewapiga kwenye mshono
Mwanaume anaweza akasema anataka mwanamke atakaempa amani. Ni preference ambayo haina ubaya wala madhara lakini wanawake wataibuka na mashambulizi utasikia "anasema hivyo ili akichepuka mkewe asiongee chochote"
Mwanaume anaweza kusema anataka mwanamke bikira. Wanawake watakua wakali utasikia maswali "mama ako aliolewa akiwa bikira", "dada zako bikira?" n.k
Mwanaune anaweza kusema napendelea mwanamke mwenye umri mdogo(19-23). Wasimbe watakua wakali kweli kweli hapo kama vile wao hawajawahi kuwa na huo umri.
Hata mwanaume ukija na hoja za body count, asset vs liability, purity n.k tarajia kupata mashambulizi makali sana kutoka kwa wanawake. Men can't say what they want without women being arguing from their traumas.
Wanawake waelewe kama ambavyo mwanamke asiekua na hela anaweza kusema kwa kujiamini kabisa kwamba anataka mwanaume mwenye hela na akaeleweka, mwanaume pia ana haki ya kusema anataka young woman, bikira, feminine n.k na aeleweke pia.
If you can have a choice as a woman, why won't men. It's not hatred, it's preferences.