Mwanaume kuwa mmbea ni ushamba

Ngoja tupige kazi tuwaoe tu maana hamna namna.
 
Mimi ni mwanaume mashine vipi unasemaje?
Wanaume ambao wamelelewa mazingira ya kiume haswa na wamepita jandoni si busara kutumia kauli hii.

Msemo wa mwanaume mashine nikujihami tuu kwa mwanaume ambae hajiamini na uanaume wake, mwanaume haupaswi kutangaza wewe ni mashine au jembe jamii yenyewe itakutangaza kwamba wewe mashine kama ni tata au sio vyovyote vile.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…