Akijibu nitagWewe ni mwanamke au mwanaume...?
Siwezi kumtag mtu kwenye mambo ya kijinga jinga, siku njema mkuu.Akijibu nitag
Mimi ni mwanaume mashine vipi unasemaje?Wewe ni mwanamke au mwanaume...?
Yule yuko kazini wengine ndio mbaya wasio jielewa..Mwanaume kuwa na hulka za kike inaboa sana
Kama yule soudy brown simpendi yule kaka jamani
Mwanamme hela machine kasagie Unga .lolMimi ni mwanaume mashine vipi unasemaje?
Mimi napitaMambo tuliyokuwa tunafanya watoto wa kike kama umbea na kusengenya, kubweteka bila kazi, kuolewa nk siku hizi wanaume baadhi ndio tumewaachia maana umbea ,kuolewa, utegemezi kwa wanaume (wavulana) ndio kumepamba moto kama sio kushika kasi ... Anga mnajitahidi ngoja tupige kazi wanawake .....
Mie siyo yeye tu na yule mwenzakeMwanaume kuwa na hulka za kike inaboa sana
Kama yule soudy brown simpendi yule kaka jamani
Siku hizi hata mwanamke anayejielewa umbea wameachaMwanaume kuwa na hulka za kike inaboa sana
Kama yule soudy brown simpendi yule kaka jamani
Kwani zangu si zinakutosha mpendwa auMwanamme hela machine kasagie Unga .lol
Msamehee bure mamii.....yupo kazini.Mwanaume kuwa na hulka za kike inaboa sana
Kama yule soudy brown simpendi yule kaka jamani
Wewe endelea kukariri hivyohivyo,utaendelea kuzeekea nyumbani kisa kutafuta mwenye pesaMwanamme hela machine kasagie Unga .lol
Lkn unamfuatilia kwny media?Mwanaume kuwa na hulka za kike inaboa sana
Kama yule soudy brown simpendi yule kaka jamani
Wewe ni mwanamke au mwanaume...?
Akijibu nitag
Siwezi kumtag mtu kwenye mambo ya kijinga jinga, siku njema mkuu.
Mimi ni mwanaume mashine vipi unasemaje?
Mwenzake simfahamuMie siyo yeye tu na yule mwenzake