chokambayaa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 543
- 69
Ninajamaa angu anaishangaza sana, akiwa na kideti na demu huwa anavaa shanga zile za kimasai na moja ya cheni kiunoni, nikamuuliza anavaa ili iweje
Nanukuu ''Ukimpiga demu ukiwa umevaa shanga ataenda kumpa story shost
wake naye atajilengesha aje kujionea naye unammega'' Mwisho wa kunukuu
Ni kweli Kuna wanawake wanaopenda mwanaume anayevaa shanga?
Nanukuu ''Ukimpiga demu ukiwa umevaa shanga ataenda kumpa story shost
wake naye atajilengesha aje kujionea naye unammega'' Mwisho wa kunukuu
Ni kweli Kuna wanawake wanaopenda mwanaume anayevaa shanga?
Habari zenu,
Leo nikiwa kwenye foleni ya kwenda kujiandikisha ili kupata kitambulisho kitakachoniwezesha kupiga kura, nyuma ya foleni kulikua na wadada watatu wakipiga story za mapenzi. Mmojawapo akafunguka kuwa kuna mkaka alikutana nae, amefungasha Shanga za kutosha kiunoni, hii hatareeee.
Tena katika maelezo yake akasema hajawi kukutana na mtoto wa kiume alievaa shanga na kumpagawisha, akasema ni wazi shanga akivaa mwanaume/ mtoto wa kike, lazima uchanganyikiwe, uchanganyikiwe na nini jiongeze mwenyewe.
Haya, nyie wadada hebu mtuambie, sasa ndo mambo ya kitehama hayo?