Mwanaume kutovaa chupi

A university student...... kweli tanzania ya viwanda, huo nao n uchafu
 
Ni vizuri sana,mashine inakuwa huru katika ukuaji ila nna wasiwasi na tabia zake so kama ina tabia ya kuzoeana na haikupi aibu kwenye watu wengi basi una tatizo kubwa ambalo linaitwa "Bongo bahati mbaya" Daah!!
BBM
 
M navaa lakini nkionaga matako ya wanawake nasimamisha hadi mtu anagundua
 
yani hata boksa sivai na sitak labda nipate manufaa yake
Faida ya uvaaji wa chupi, boksa, au bukta ni pale itakapotokea dharula ta kutatuka suluwali bado utakua umesitilika kinyume na pale usipovaa
si hivyo tu lakini ikumbukwe kwama uvaaji wa nguo ya ndani inazuwia pia mitikisiko ya mwili maaneo muhimu kama mbele na nyuma hivyo inakuwa hujaweweka wenzio katika majaribu,

Maana kuna baadhi ya waja wana maradhi wakiona mtikisiko wa maumbile ya wenziwao huwa wanapatwa na maradhi ya mfazaiko

Nikunasihii mkuu uwe unavaa nguo ya ndani vinginevyo wanzio watakuwekea dhana mbaya kuwa wewe ni ktk Bashite
 
Hii nayo mpya sikuwah tegemea kama kuna watu hawavai nguo za ndani tena dent uliyeelimika
 
A university student...... kweli tanzania ya viwanda, huo nao n uchafu
uchafu gani na wewe??nyie mnaovaa matambala ndio wachafu jitu halifui wiki 2 afu unajiita mwanaume
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…