Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Wanaume wenzangu mwanaume kutembea na kitana mda wote akiguswa kidodo anaanza kupitisha kitana, je wewe unaona kwako imekaaje?
Nilipokua Chuoni, nilipenda sana kufuga nywele. Ilikuwa ni style pendwa sana kuwa na nywele nyingi, hata sasa hicho kiitu bado kipo.Wanaume wenzangu mwanaume kutembea na kitana mda wote akiguswa kidodo anaanza kupitisha kitana, je wewe unaona kwako imekaaje?
Tuwasubiri wenyewe wa Darisalama.
Ndo wale waleAs long as kitana hubebi ww wala sio chako sion haja ya kulalama live your life
Neno "unaa" limetokea wapi we ndo wale au, umeshanufaham.Acha unaa mkuu Kwan, kitana huruhusiwi kutembea nacho kama mtu kaweka mahali pazur eg kwenye bag ww inakuhusu nn, nasema hayo Binafsi nina nywele kipilipili baada ya Mda kdg nywele huvurugika hivyo kitana ni lazima niwe nacho JIRANI sion km ni shida
Ndo wale wale
Sawa naona na wewe pia ni m'beba kitanaAs long as kitana hubebi ww wala sio chako sion haja ya kulalama live your life