Sasa ukiwa unachelewa kila siku kurudi si ataacha jamani? Raha ya kupika awepo mtu anapitapita na kukuchokoza hapa na pale. Mie paw akiwa hauupo wala sipiki!
afu unajua sikustukia anatwanga? Si anhetwangia hapo juu ya makabati? Na usiseme kama hii nyumba ni cheap, numba nyingi za waswahili hazina jikoni achilia mbali makabati ya ukutani!
Tatizo uko bahili. Nunua hata jiko la mezani la gesi. Wife akija hapo amekubebea glasi ya juisi anakukumbatia kwa nyuma na kukubusu shingoni. Kigoda hakinogii kabisaa?