Mwanaume kumkiss mwanaume mwenzake

Kwakuwaa we nae ni mwaarabuu cheusi [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Mimi ni Mwafrika mweusi. Nasalimiana na mwanaume mwenzangu kwa kupeana mikono siyo mashavu
 
Nikweli Mkuu,wala hawajakudanganya......maeneo hayo vijana ukiwaona utasikitika sana
siku shoga akitaka kuniletea useng nitamtandika ngumi hizo.Vijana hawataki kufanya kazi wanapenda maisha mazur matokeo yake ndo hayo
 
siku shoga akitaka kuniletea useng nitamtandika ngumi hizo.Vijana hawataki kufanya kazi wanapenda maisha mazur matokeo yake ndo hayo
Mkuu utamuonea huruma tu na kusikitika huwezi pata hata nguvu ya kumuangalia x2
 
Mkuu utamuonea huruma tu na kusikitika huwezi pata hata nguvu ya kumuangalia x2
Labda inaweza tokea!! nitamuonea huruma yule mwenye homoni za kike..lakini hawa washenz wengine ambao wanapenda hizo mambo aiseeh
 
Inategemea na mila za watu kama waarabu ni kawaida hata wanyaruanda
 
Hapo Kuna mmoja atakuwa cyo ridhiki.
 

Jina lako tu, huwa nalielewa sanA.
 
kwa upande wangu hua naona ni sawa kwa wanawake ila nikiona wanaume wanakiss hua nahisi kama dunia inatetemeka aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…