Mwanaume kulia si udhaifu, kuna faida kiafya ukulia

Binadaamu wako tofauti

kuna wengine wanalia kiusanii tu kumshawishi mwanamke 'wamefika'

wengine wanalia wakiwa na hasira kupita kiasi

wengine wanalia kwa unyonge.....

wengine wanalia kumhadaa mtu


ukiona mtu kakukosea (mwanaume) then analia mmh..wengi usanii ni machozi ya furaha kushuhudia ulivyokereka, wengine anavuta hisia za mtu wa karibu alokufa long
 
Zamani kidogo enzi za ujinga girlfriend alikuwa ananipangia nguo kabatini japo nilijitahidi kumzibaziba asifike kwenye section niliyotoka kuweka madudu yangu, akakomaa maana yeye alikuwa anaamini mimi ni rafu sana.

Basi akakutana na ndom kadhaa mbichi kabisaa.. Sikuwa na cha kujitetea zaidi ya kulitafuta hilo chozi nilifyatue nikaishia kucheka tu. Alipokuja kunicheat yeye nilichanganyikiwa nikaleta na vurumai kubwa sana hahahaa. Na mapenzi yakaishia hapo
 
Nina machozi ya karibu basi nikimkosea wife akijua, huwa naliaa nakataa kabisa kosa na anaamini sijakosa, akigeuka pemben nacheka kimoyomoyo nasema kweli huyu ndoroboo

Mmh don't take a woman for a fool. Hapo unacheza na trust yake, siku akigutuka jua tu umekwisha. Usimchukulie poa
 
Binadaamu wako tofauti

kuna wengine wanalia kiusanii tu kumshawishi mwanamke 'wamefika'

wengine wanalia wakiwa na hasira kupita kiasi

wengine wanalia kwa unyonge.....

wengine wanalia kumhadaa mtu

vip wewe unalia ukiwa.....?????
 
Back
Top Bottom