Mwanaume kulia si udhaifu, kuna faida kiafya ukulia

She has seen you naked, with your funny looking asian inherited lil man, and she's still down, what's tears?? Wanna let out your anger, frustrations or whatever, just let it out man. It's ok to be your woman's 'b!tch' for a few seconds.
Don't you see cryingis a sign of weakness, regardless of what you have been done with her; most ladies feel that a weak man normally cries?
 
Wengi wanaolia ni zuga tu hasa mambo yanapomfika pabaya na demu anamhitaji ila kama kuna dalili za kukata kamba na mara nyingi wanalia wakiwa wawili tu ndani ya nyumba au chumbani lakini si kwenye PUB. Wachche ni hulka yao kulia ila wengi zugaling tu
 
Ni kawaida yangu kutojisikia/kutaka kulia wala kutapika.Kwa ufupi sijawahi kulia mbele ya mwanamke au mtu yeyote,naamini tangu nihame umri wa utoto. Ingawa kitabibu tunashauriwa ujisikiapo kulia,wewe lia ili upunguze hasira/ sumu mwilini kwa afya ya mwili na akili.
kumbe watu wa aina hii wapo!
 
Nina machozi ya karibu basi nikimkosea wife akijua, huwa naliaa nakataa kabisa kosa na anaamini sijakosa, akigeuka pemben nacheka kimoyomoyo nasema kweli huyu ndoroboo
 
Mwanaume hutakiwi kulia mbele ya mwanamke...
Inakushushia heshima sana na unaonekana upo weak sana...
Mbaya zaidi ukute mwanamke ana macho makavu yeye hajui kitu kinachoitwa kilio...
Kama unajisikia kulia, tafuta sehemu yako binafsi lia badae kausha kama hakuna kilichotokea...
 
Don't you see cryingis a sign of weakness, regardless of what you have been done with her; most ladies feel that a weak man normally cries?

Watu take this "sign of weakness" statement wrongly, just because a person cried doesnt mean maisha yake yote yeye ni weak, it happens..i cry, and damn it,am not weak..ila i have weak moments
 
Don't you see cryingis a sign of weakness, regardless of what you have been done with her; most ladies feel that a weak man normally cries?
Dalili ya mvua ni mawingu ... SAWAAAA.. lakini si kila yanapoonekana mawingu basi mvua huwa inanyesha....
 
Inatokoe somtm mtu unalia bt chozi tu linadondoka hutoi sauti ilishanitokea bt ya kuigiza, Alifuma msg kweny cm yangu na namba uzuri ilikua ngen so katika kumbembeleza kwamba kuna rafik yangu alikua anachati na dem wake akawa hataki kuamini.

Njia pekee ikawa ni kuyatafuta machozi, uzur kiran kilikuwa na kanisa linapiga nyimbo za kusikitisha machozi yakaja kweli laasivyo sijui ingekuaje, tangu siku hiyo nawapa big up wasanii wanavotoa machoz kumbe ni kazi kubwa, so nililia pale na akaamin kwel hazikua msg zangu
 
watu take this "sign of weakness" statement wrongly, just because a person cried doesnt mean maisha yake yote yeye ni weak, it happens..i cry, and damn it,am not weak..ila i have weak moments

waooh nyc talking mkuu
 
Inatokoe somtm mtu unalia bt chozi tu linadondoka hutoi sauti ilishanitokea bt ya kuigiza, Alifuma msg kweny cm yangu na namba uzuri ilikua ngen so katika kumbembeleza kwamba kuna rafik yangu alikua anachati na dem wake akawa hataki kuamin, njia pekee ikawa ni kuyatafuta machozi, uzur kiran kilikuwa na kanisa linapiga nyimbo za kusikitisha machozi yakaja kweli laasivyo sijui ingekuaje, tangu siku hiyo nawapa big up wasanii wanavotoa machoz kumbe ni kazi kubwa, so nililia pale na akaamin kwel hazikua msg zangu

hahahahahaha noumah kweli mkuu
 
Msemo wa machozi ya mwanaume mbele ya mpenzi ni hadaa ni kweli?
 
Ni udhaifu mkubwa sana kwa mwanaume kufanya ivyo. Mwanaume anatakiwa alizwe na kufiwa na mke,mtoto na wazazi. Unalialia na mapenzi wakati kinadada kibao watulivu wapo ebboo!
 
Ni udhaifu mkubwa sana kwa mwanaume kufanya ivyo. Mwanaume anatakiwa alizwe na kufiwa na mke,mtoto na wazazi. Unalialia na mapenzi wakati kinadada kibao watulivu wapo ebboo!
Hii sio dhana tu tulio lishwa toka enzi kwamba mwanaume wa kiafrika kuangua kilio mbele ya mke au mpenzi ni udhaifu?
 
watu take this "sign of weakness" statement wrongly, just because a person cried doesnt mean maisha yake yote yeye ni weak, it happens..i cry, and damn it,am not weak..ila i have weak moments
Kuna mzee wetu PM yeye hasubiliagi mbele ya wife nia hadharani anafungulia water'n'world yanaisha. Nae ni udhaifu au hisia kali?
 
Kwa hiyo wewe misumu yako na mahasira vyote vimekujaa mwilini....

Ahahahahahaahaa ndo maana wengine wakijammba vinanuka hatariiii... kumbe tunanusishwa na sumu ... DUH, SUMU, HATARII
... embu lieni tupunguze harufu mitaani

Ndugu hii imekaa katika kanuni ya afya ya akili na mwili zaidi....fuatilia kwa matabibu.Wanaume kupenda kukaa au kuficha hasira kwa kutosema au kutolia au kujidai kuvumilia na kuugulia maumivu ndani kwa ndani ni hatari sana.Hupunguza umri na kuwahisha kufa mkuu.
 
Back
Top Bottom