Mwanaume kulia si udhaifu, kuna faida kiafya ukulia

Yeeessuuu ukimlilia mwanamke mbele yake kwanza anaenda kuchekea chumbani anaanza kujishangaa namna gani alivyokuteka yaani utampa ma confidence balaa
Hahahaa I can imagine, ungeenda kulia mbele yake. Hua tuna huruma, angeona machozi labda angekuelewa mkaendeleza mapenz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom