mwanaume kulala kwa mwanamke

Ukitaka kumuua nyani usimtazme usoni, utamuonea huruma bure we kama kakaupenda kura bata
 
Eti mama pita, huyo anayekuja kulala kwako ni Baba Pita au Bazazi mwana mtoka pabaya?
 
Last edited by a moderator:

hahah wanaume anataka dudu tena!! acha bana seme anataka K au utamu. mwanamke ndio anataka dudu
sasa wewe kwa nini alipe kodi? kwani wee mke wake? kuwa mke wake ndio atakulipia kodi bana wee vipi? mwataka kuwabebesha wanaume majukumu ambayo sio yao
 
hee,mi mwanaume kwangu hawezi kuja wala ku do!km hatuendi kwake,twende hotel na alipe,full stop!

Yaan dudu umpe ukiwa kwako,na kodi asilipe!?khaa!,kweli we a differ
 
he he heeeeeeeeeee wengine tuliolewa kabla hata hatujawa na nyumba za ku-accommodate hao wakaka
lakini kama ningepata hiyo nafasi, mimi naona kwangu ningekuwa comfortable zaidi.
ingawa kwake pia tungekuwa tunaenda mara chache chache ku-make sure kwamba hakuna mtu anayeishi huko.....maana usipoangalia unaweza ukawa unampumzisha tu mtu wakati alishatwaliwa kitaaaambo.....
 
Kumbe unauza dudu? Mwenzio alijua ni ya bure
 
hee,mi mwanaume kwangu hawezi kuja wala ku do!km hatuendi kwake,twende hotel na alipe,full stop!

Yaan dudu umpe ukiwa kwako,na kodi asilipe!?khaa!,kweli we a differ

alafu mnamind tukiwagegeda na kusepa. sasa hotel nilipie so imekuwa kama biashara...so nitakutumia kupenguza wazungu nikikuchoka nasepa zangu
 
mama pita huyu mwanaume una mbona kuwa ana kasoro nyingi hivi,kwanini humwambii na muachane!
the same guy hakuridhishi kimapenzi
the same guy hakujali unapokuwa na matatizo
the same guy hutaki alale kwako
MAPENZI SI KUONEKANA TU NA WE UNA MWANAUME!ah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…