Jamani! Si kulala tu kwani kuna ubaya gani? Hata mimi nikija pale ubungo temino nikakuomba pa kulala si utanisaidia tuuu jamani!
una bf wako anachumba chake na wewe unachumba chako na mnapendana sana akitaka dudu anakuja kulala kwako ikitokea kodi imeisha na umebanana hakuchangiii hata 10 unabangaiza unalipa anakuja kutaka tena dudu kwako hiii imekaaje wadada wenzangu japo mnapendana sana.
Inategemeana mmekubalianaje kwenye mahusiano yenu,ila mi kulala kwenye geto la demu siwezi,make unaweza kukurupushwa hawa wadudu hawaaminiki jamani wanaume muwe waangalifu!
Usikute wewe unalipa Tsh 150000 kwa mwezi, yeye analipa tsh 30000 kwa mwezi....!! atakulipia kweli?sio hivyo nimaisha ya mahusiano tu ndio hana kipato kikubwa bt kwann yeye alipe kwake miezi 6 ww uhangaikie kodi na asikusaidie hata mwezi mmoja wakati huwa anakuja kulala kwangu???????
is the offer still valid?? :madgrin:mmh! mm natafuta wa kulala nae hpa kwangu sijui nani atajitokeza lol!
halafu unavyofanya jua kabisa sio vizuri.......
cc😡PakaJimmy.......
una bf wako anachumba chake na wewe unachumba chako na mnapendana sana akitaka dudu anakuja kulala kwako ikitokea kodi imeisha na umebanana hakuchangiii hata 10 unabangaiza unalipa anakuja kutaka tena dudu kwako hiii imekaaje wadada wenzangu japo mnapendana sana.
yes do you want to come in??is the offer still valid?? :madgrin:
mi nadhani kila mtu alale kwake.......
Hivi nachanganya Anna Pita na Mama Pita, maana kuna mmoja aliamua kuDo women baada ya kuona wanaume wanamboa! LOL
Inategemeana mmekubalianaje kwenye mahusiano yenu,ila mi kulala kwenye geto la demu siwezi,make unaweza kukurupushwa hawa wadudu hawaaminiki jamani wanaume muwe waangalifu!