Aaah Preta, wengine tunampeleka demu Furniture centre na kukamilisha Appartment sasa kuna ubaya gani siku nikilala kwako kwa sababu nimetowa millioni 3 kusave gharama za kwenda Hotel?mi nadhani kila mtu alale kwake.......
una bf wako anachumba chake na wewe unachumba chako na mnapendana sana akitaka dudu anakuja kulala kwako ikitokea kodi imeisha na umebanana hakuchangiii hata 10 unabangaiza unalipa anakuja kutaka tena dudu kwako hiii imekaaje wadada wenzangu japo mnapendana sana.
mi nadhani kila mtu alale kwake.......
wanawake wana dudu siku hizi?
Kwa vile jamaa umempendea dudu endelea kumkabidhi uhuru wa chumba chako nakuchafua mashuka.
inatokea mnataka ku do sasa
wanawake wana dudu siku hizi?
sio hivyo nimaisha ya mahusiano tu ndio hana kipato kikubwa bt kwann yeye alipe kwake miezi 6 ww uhangaikie kodi na asikusaidie hata mwezi mmoja wakati huwa anakuja kulala kwangu???????
sio hivyo nimaisha ya mahusiano tu ndio hana kipato kikubwa bt kwann yeye alipe kwake miezi 6 ww uhangaikie kodi na asikusaidie hata mwezi mmoja wakati huwa anakuja kulala kwangu???????
Mnaenda gesti na alipe yeye alahh.