lol..nilijua tu wanaume mtatetea..kam amtu anaamua kuongea for 5 minutes haimaanishi ninaenjoy mazungumzo
siwezi kumkatisha maongezi
na mara nyingi anaishia kulalama tu kuwa simjali simpendi namdharau n.k
mbona wanawake watongozaji akiamua kukucall huwa anaingia cost mwenyewe??ila ukimkubali ndo unalipia cost zoe
sasa kwanini na yeye asifanye hivyoo...haa!!he spoilt my day for real mxii
Sasa unaona kumbe unajua mwanaume hatakiwi kuomba vocha ni aibu ujue au usikie eti simu inakwisha pesa nipigie kha!!! Nitakupa kibuti hicho hujawahi kukiona aibuuuuu dume zima eti naomba vocha.
mi sijajigamba babu,usinisemee........kama kwako kina ladha ya chumvi kwa wenzio chaitwa kitamu na uchumvi chumvi wake.....haipendezi kuomba vocha....labda kama una tatizo linaloeleweka !! tabia mbaya!!:washing:
. . . . on both sides
ha ha ha ha ha haa:lol::lol::lol: mbona mnakua wakali namna hii jamani? si buku mbili tu?:lol:
Hahahaha chumvi inageuka tamu hii sayansi kiboko
ndio....ila kuomba vocha mwanaume hapana!
Mimi na wewe tunajuana so nikiwa nimepigika sioni tatizo kukwambia lakini ingekuwa ndio mara ya kwanza tumekutana dah aisee ingekuwa ngumuHahahahahahahah
Lol
nashindwa kubishana na we
maana unautani mwingi lol
Nway
DA
Mimi nimeongelea kwa upande wangu tu, lakin sihalalishi mwanaume hawezi kuomba vocha
Hivi kwanini kwenye masuala ya pesa za mwanamke kutumiwa na mwanaume inakuwa ngumu sana???
Any reason plse???
wape vidonge vyao wakimeza wakitema ni shauri yao Afro.....mwanaume uombe vocha???? eti nao wataka usawa....basi tukiwa vichwa vya nyumba muwe kimya si kuleta jeuri :washing:
umeipata bro? nimekutumia ya 5000....ikiisha ni beep nikuongezee,msalimu Afro!!:washing:
Wanawake bana!!
Full ubahili, with no reason :lol::lol::lol:
Wanaambiwa hivi ili wasijisikie vibaya, lakin uchumvi-chumvi uko pale pale :juggle::lol:
nakuabaliana nawe 100%.. ila ndio maana nikasema labda yuko mahala ambapo sio rahisi kupata vocha, akaona mtu wa karibu kumsaidia ni wewe kipenzi chake:tongue:
l.o.l :hug: its sweeter that way.....mwanaume abaki kuwa mwanaume na awe na tabia za kiume.....period!!
Taratibu....kila mtu ana maamuzi yake....usiusemee moyo wake wala kutabiri atakachofanya baadaye,huyo anayemtongoza sasa hafanani na aliyenaye wala atakaye kuwa nae ndo maana anapinga na ameshasema hana mapenzi nae.....:focus:
sweetdada unajua tatizo liko wapi....wanawake mnamentality kua cha mwanaume ni cha wote wakati cha kwenu ni chenu wenyewe na ndio maana imekuuma sana kuombwa voucher.we mtumie tu hiyo buku 2 muende sawa
jamani DA yani hata kama nina shida ya hatari nikikuomba vocha kibuti kinalia?:Cry:
Samora na wewe unaomba vocha?? Hebu acha kutia aibu bana buku mbili unakosa pesa ya nyama choma utatoa wapi??
Sijambo mpenzi
eti yule alikuomba vocher
Ukamnyima ndo maana cosovo
Nato ikaanza
Hahah lol
Vipi mambo lakini?
Eti bado hujamtumiaga vocher
Hashycool?