Mwanaume kuiomba airtime voucher!!!!


lol..nilijua tu wanaume mtatetea..kam amtu anaamua kuongea for 5 minutes haimaanishi ninaenjoy mazungumzo
siwezi kumkatisha maongezi
na mara nyingi anaishia kulalama tu kuwa simjali simpendi namdharau n.k
mbona wanawake watongozaji akiamua kukucall huwa anaingia cost mwenyewe??ila ukimkubali ndo unalipia cost zoe
sasa kwanini na yeye asifanye hivyoo...haa!!he spoilt my day for real mxii
 
:lol::lol::lol:
 
Sweetdada wewe si umtumie tu hiyo 2000 ili upendwe zaidi l.o.l
 

hahahhah ..

sina feelings hata chembe yani na yeye anajua mana nimemwambia lakini king'ang'anizi
 
Sababu na sisi huwa inatu-put off nyie kufanya kitu ambacho wewe pia haukipendi hapo ujue kuwa na sisi huwa inatukera
 
TF we mbona huniombagi?
Lakini unanipa bila kuomba..
halafu sijui unamtetea ta nini?
Mmmmhhhbhh...
 
....ushaambiwa ndo wako stage ya kutongozana unapouliza wanajuana au hawajuani una maanisha nini shem (LZ)?kujuana ndo kupi?:juggle:

Shem, soma hilo jibu hapo chini. Hilo la kutongoza unalichomeka wewe :juggle::juggle:


ni mfanyakazi mwenzangu so tunafahamiana na namba za simu kwa wafanyakazi humu kwetu kupeana its normal kwa wajili ya kikazi zaidi.sasa mwenzangu badala ya kuitumia kikazi akaamua kuitumia kibinafsi zaidi
 

Tunakuelewa kuliko unavyodhani mamito, wanaume wa hivyo bongo cku hizi wanazidi kuongezeka tena usishangae anakuomba wewe kumbe kuna mtu kamuomba vocha akishachuna kwako amtumie yeye kazi kweli kweli
 
hahahhah ..

sina feelings hata chembe yani na yeye anajua mana nimemwambia lakini king'ang'anizi

Utampa tu wewe tena utaamua kumfikiria japo kwa siku moja baadae utachonga mzinga.

Eti huna feelings nae kwani huyo anae mega sasa hivi ulikuwa na feelings nae? Si alikutongoza kama huyo anavyo fanya?
 

wape vidonge vyao wakimeza wakitema ni shauri yao Afro.....mwanaume uombe vocha???? eti nao wataka usawa....basi tukiwa vichwa vya nyumba muwe kimya si kuleta jeuri :washing:
 
Hivi kweli TF unataka kusema huyo
Kijana hana2000 au ni mzaha tu?


sio kama hana na wala si mzaha huyo anamaanisha anachokisema wanaume nao wameanzisha mtindo huo, anachuna huku anaenda kuhonga mbele ya safari
 
Hiyo nayo ni kazi. C unaona kuna inflow na outflow of cash. Sema tatizo inaenda kwenye opposite direction, maji yanataka kupanda mlima! Ungemuomba yeye akupe ungekuja kulalamika?
 
....ushaambiwa ndo wako stage ya kutongozana unapouliza wanajuana au hawajuani una maanisha nini shem (LZ)?kujuana ndo kupi?:juggle:

tatizo hatujui kama walishakutana physically!

gud mornin to yu sweetie..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…