Mbona ulivyokuwa ukitongozwa hujasema? wewe vipi? kama ulifika mpaka kumpa namba yako na kumsikiliza why kumpa voucher? wewe ungemuomba? kama mtu anakupigia kama credit inaisha means unamsikiliza kabisa na kumpa hope why not kumsaidia aendelee kukuimbisha kama nyimbo zake unazikiliza?
anaomba flash nikampa hakurudisha
....ushaambiwa ndo wako stage ya kutongozana unapouliza wanajuana au hawajuani una maanisha nini shem (LZ)?kujuana ndo kupi?:juggle:
Kwa sababu za kimazoea au??
Aisee yaani nimecheka sana wakati nafuatilia huu uzi. Kilichonishangaza ni jinsi ambavyo wengi wa dada zetu hapa hawakugundua mapema kuwa mnawayeyusha tu. Yaani mmewayeyushaa weeeeee, na wao masikini wanagombana na kiibodi tu lol.nilitaka kupima boiling point yenu...:juggle:
Wanandugu wapendwa hope mu wazima..
Hee!!nimeshangazwa na kitenndo cha mwanaume mmoja eti ananisumbua kwa muda wa mwezi kwa madai ananipenda..sasa cha kushangaza na ambacho sielewi..kila akipiga simu ataongea dakika tano afu ananambia"please call me back credit inaisha"...
hee!!mi nabaki kutoa macho huyu vipi??na mi namwambia hata mie yangu imeisha basi nikisema hivyo anaendelea kuongea..
cha kuchekesha leo asubuhi kanipigia tena simu kaongea mwisho akasema "nitumie vocha ya 2000 basi"..hee!!mi nikabaki mdomo wazi,nikamwambia sina hela..akakata simu.
Jamani nimeshangaa ajabu sijawahi kuona dunia nzima mwanaume anakuwa hivi especially akiwa anatongoza..huyu hata kama anataka kunifanya mie 'kitonga' si angesubiri basi akubaliwe..akaaa!!kani put off mnooo na kaniharibia siku yangu ya leo ..mxiiiiiii
Wanaume ndo mnaenda wapi kwa hii style jamani aii
Aisee yaani nimecheka sana wakati nafuatilia huu uzi. Kilichonishangaza ni jinsi ambavyo wengi wa dada zetu hapa hawakugundua mapema kuwa mnawayeyusha tu. Yaani mmewayeyushaa weeeeee, na wao masikini wanagombana na kiibodi tu lol.
tunafeel the same way kwa sababu kwanini mwanaume awe wa kutumika tu aumize kichwa kupanga maneno ya kukutongoza,aanze kukuhudumia kwa kila kitu na mlivyo wa ajabu ukiona tu jammaa anakumendea unapanda bei ghafla. hiyo haitoshi hata tukiwapa kila kitu mnaanza oh he doesnt satisfy me au oh haendi na wakati.so its our time now to get rid of you sasa ni kazi kwenu kututongozaWanandugu wapendwa hope mu wazima..