Wanandugu wapendwa hope mu wazima..
Hee!!nimeshangazwa na kitenndo cha mwanaume mmoja eti ananisumbua kwa muda wa mwezi kwa madai ananipenda..sasa cha kushangaza na ambacho sielewi..kila akipiga simu ataongea dakika tano afu ananambia"please call me back credit inaisha"...
hee!!mi nabaki kutoa macho huyu vipi??na mi namwambia hata mie yangu imeisha basi nikisema hivyo anaendelea kuongea..
cha kuchekesha leo asubuhi kanipigia tena simu kaongea mwisho akasema "nitumie vocha ya 2000 basi"..hee!!mi nikabaki mdomo wazi,nikamwambia sina hela..akakata simu.
Jamani nimeshangaa ajabu sijawahi kuona dunia nzima mwanaume anakuwa hivi especially akiwa anatongoza..huyu hata kama anataka kunifanya mie 'kitonga' si angesubiri basi akubaliwe..akaaa!!kani put off mnooo na kaniharibia siku yangu ya leo ..mxiiiiiii
Wanaume ndo mnaenda wapi kwa hii style jamani aii
Namba za sim mlipeana vipi??
Mnajuana au hamjuani???
Namba za sim mlipeana vipi??
Mnajuana au hamjuani???
:lol::lol::lol: Kumbe inawauma na nyie kuombwa vocha basi mkae mkijua kuwa na sisi huwa inatu-put off nyie kutuomba vocha every now and then, sweetdada leo imekula kwako acha kubana mtumie mshikaji vocha banaa mbona nyie mkituomba huwa tunawatumia halafu mnaishia kutu-beep:lol::lol::lol:
Wanandugu wapendwa hope mu wazima..
Hee!!nimeshangazwa na kitenndo cha mwanaume mmoja eti ananisumbua kwa muda wa mwezi kwa madai ananipenda..sasa cha kushangaza na ambacho sielewi..kila akipiga simu ataongea dakika tano afu ananambia"please call me back credit inaisha"...
hee!!mi nabaki kutoa macho huyu vipi??na mi namwambia hata mie yangu imeisha basi nikisema hivyo anaendelea kuongea..
cha kuchekesha leo asubuhi kanipigia tena simu kaongea mwisho akasema "nitumie vocha ya 2000 basi"..hee!!mi nikabaki mdomo wazi,nikamwambia sina hela..akakata simu.
Jamani nimeshangaa ajabu sijawahi kuona dunia nzima mwanaume anakuwa hivi especially akiwa anatongoza..huyu hata kama anataka kunifanya mie 'kitonga' si angesubiri basi akubaliwe..akaaa!!kani put off mnooo na kaniharibia siku yangu ya leo ..mxiiiiiii
Wanaume ndo mnaenda wapi kwa hii style jamani aii
ni mfanyakazi mwenzangu so tunafahamiana na namba za simu kwa wafanyakazi humu kwetu kupeana its normal kwa wajili ya kikazi zaidi.sasa mwenzangu badala ya kuitumia kikazi akaamua kuitumia kibinafsi zaidi
Inaonyesha wewe mchunaji sana.
Kwani ungempunguzia 300/= kuna ubaya gani?
Siku hizi mapenzi kusaidiana bana
Kama mfanyakazi mwenzako kwa nn umeamua kumzalilisha?
Sio vizuri kuwa mstaarabu yaani kuombwa vocha imekuuma hivyo ukimpa je?
Riwa they should know it works both ways sasa hapo sweetdada apige hesabu wanaume tunapoombwa vocha tena sio 2000 huwa wanasema 5000 sijui ampigie mama anaumwa kumbe changa la macho next time she will beep you telling you kwamba imeisha anaomba umtumie nyingine kumbe changa la macho:lol::lol:You said it all The Finest....Nimefurahi kusikia kuwa hata wadada nao wanaboreka wakiombwa 'vocha' au wakimbiwa naishiwa credit call me back! Inatuboa pia inapotokea mara kwa mara. Inaboa zaidi ukituma hiyo vocho pengine buku 2, then unaambulia msg ya ahsante tu, next time you hear from her its either a beep, tafadhali nipigie, au mzinga mwingine wa vocha!
Amtumie vocha bwana, dah vocha tu tena ya 2000 l.o.lHahahahahahahah lol
kweli bongo kuna vituko
Mchore chini huyo
Hana mbele wala nyuma
Wanawake tunapenda kudekezwa
Tena ile mara ya kwanza mtu anapokutongoza
Huyo kijana alitakiwa akuletee kanga,akupeleke nje kwa dinner,
Na ye ndo akupe vocher
Khaa nani anataka mtu wa mamna hiyo
Angesubiri mpaka umwite mpenzi
Ndo angeanza hayo mambo..
Hembu mweleze ukweli
Na asikukatishe tamaa kwani wanaume wengi
hawako hivyo kabisa..
mwingine ataenda ku kopa fedha ili akufurahishe
Embu achana na hiyo michosho
u deserve better girl...
:lol::lol::lol: Kumbe inawauma na nyie kuombwa vocha basi mkae mkijua kuwa na sisi huwa inatu-put off nyie kutuomba vocha every now and then, sweetdada leo imekula kwako acha kubana mtumie mshikaji vocha banaa mbona nyie mkituomba huwa tunawatumia halafu mnaishia kutu-beep:lol::lol::lol:
Hahahahahahahah lol
kweli bongo kuna vituko
Mchore chini huyo
Hana mbele wala nyuma
Wanawake tunapenda kudekezwa
Tena ile mara ya kwanza mtu anapokutongoza
Huyo kijana alitakiwa akuletee kanga,akupeleke nje kwa dinner,
Na ye ndo akupe vocher
Khaa nani anataka mtu wa mamna hiyo
Angesubiri mpaka umwite mpenzi
Ndo angeanza hayo mambo..
Hembu mweleze ukweli
Na asikukatishe tamaa kwani wanaume wengi
hawako hivyo kabisa..
mwingine ataenda ku kopa fedha ili akufurahishe
Embu achana na hiyo michosho
u deserve better girl...
Fidel, umeshasema "mapenzi kusaidiana"..mi sina mapenzi nae,yeye ndo ananitongoza..sasa iweje uniombe nikucall au vocha wakati hata sijakukubali,je nikikukubali si utaomba mahela mpaka nikome..akaa!hebu nielewe na wewe..au na wewe ndo walewale 'KITONGA'